mchonga
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 1,233
- 249
MWENYEKITI
Mr Salim Amar Saad
KATIBU
Mr Goodluck Mboya
MWENYEKITI WA BAWACHA
Mrs Petronilla Mwakatuma
KATIBU BAWACHA
Miss Margaret Malekia
Tom Tom kaula,View attachment 86261
KATIBU MWENEZI
Mr Matthew Alex Jutta
View attachment 86262
KATIBU WA BAVICHA
Mr Bernard Irondo
Kijana wangu HuyoHuyo katibu wa BAVICHA mbona amekaa kitapeli tapeli sana...
Kijana wangu Huyo
ana miaka 45 ni mtu safi Tatizo lager
Mkuu mchonga mbona habari nusu nusu. Naomba utujuze, viongozi wapya walikuwa wanachuana na kina nani?.
Mkuu to be honest Huyo mwenyekiti ni jembe. When ur good ur good! Huyo Wa bavicha pia mtu safi Tatizo ni umri na kilaji, ukumbuke Kuwa hawa wote ni vijana wanguHahahahahahahha mkuu chilisosi, hii kitu inakuwaje tena? Baviha 45??????????????????
Hii kweli ni magumashi mwanzo mwisho.
Ila kama wewe umesema nimtu safi basi hana tatizo...
Mkuu inanikumbusha nilipochaguliwaHakuna mchuano. Hapo ni kila mtu anachagua nafasi anayotaka. Watu wenyewe nane tu, mchuano wa nini?
Mkuu to be honest Huyo mwenyekiti ni jembe. When ur good ur good! Huyo Wa bavicha pia mtu safi Tatizo ni umri na kilaji, ukumbuke Kuwa hawa wote ni vijana wangu
Mbona hamna picha ya Mnyika?
Ina kuhusu nini?
Sasa kama haituhusu mmetuambia hapa ya nini?
Si mlituwekea tangazo kuwa Mnyika "ataunguruma" huko London na kwamba vinjwaji na msosi utatolewa bure.
Mimi nilishangaa kuona mpaka London inatumika strategy ya ubwabwa kuwavuta watu!!!