CHADEMA twazidi kujiimarisha

Huenda huo ni msaada toka kwa mabeberu - tutafuatilia kujua uhalali wake
 
Hilo turubai la bluu mbona limechoka hivyo, mvua ikinyesha hayo maboksi yatapona kweli?
 
Hata wakileta choppa na jeshi la marekani still kuingia madarakani Labda ni ya nyumbani huko.
 
CDM chama la kizazi kipya!! Bravo saana; unaingia kwa hiari na unatoka kwa hiari wanaobaki wanapiga kazi kama kawa... hili ndilo chama bwana!!

Chama eti hadi uambiwe cha kusema eboo!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…