CHADEMA twazidi kujiimarisha

Umeonaeee?
Watu wameshindwa kujizuia kabisa na wamesahau kuwa Tanzania ni yetu sote
Tukubali yaishe naona Boxer 200 zinatoa watu roho hahaha!!
 
Yaani vipikipiki 200 kelele nyingii kama wameleta Ndege ya Airbus. Vipi yale mabus aliyopewa Tundu hayajafika tu au yamepotelea Kaskazini?
Bora hawa wamepata hizi kihalali. Nyie ukiona ccm wana pikipiki au magari ujue kuna mhindi kesha minywa akawapa bure. Unakumbuka zike Mahindra? Kwa sababu ya dhuluma zote zimekufa. Ccm ni wadhulumati sana. Hata landcruzer nazo zitakufa. Acheni dhuluma.
 
Mahindra zile sasa hivi 98% ni masklepa
 
Hizo akina Mbowe ameshapiga hapo ni zakufa baada ya miezi 6 tu mkuu.
 
Unajua mikakati hii ni poa sana Pikipiki ni rahisi kupenya Vijijini kuliko magari ambayo yanaweza kuwindwa na kuhujumiwa na Green guards.
 
Sasa hivi hao green guard wajiandae maana tumegundua kuwa hawahitaji uungwana
Unajua mikakati hii ni poa sana Pikipiki ni rahisi kupenya Vijijini kuliko magari ambayo yanaweza kuwindwa na kuhujumiwa na Green guards.
 
Kamwambieni CAG aje afanye ukaguzi.
Vipi kuhusu ile 1.5trillion zimekwenda wapi ?
halafu washapiga hela ndefu wanaongeza sifuri kmbele kwa kila bei ya pikipiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…