Kawaulize chakubanga na Jiwe mziki wa cdm ndiyo watakuelewesha
Naona wewe ni mgeni sana wa siasa zetu hapa TanzaniaWanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
Wanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
Ndo maana hasira zote wanaenda kumshushia mdude.Kwa kipindi hiki lazima watapata kizunguzungu maana hawatajua waanzie wapi kufanya udhalimu wao
Kawaida yenu mkiishiwa point mnatafuta visingizioNaona umejiunga jf kuitikia wito wa Ndugaye ili kuiokoa ccm mitandaoni lkn huna lolote unaloweza
mddude anamatusi ya nguoni na wenyewe ndiyo walimteka ili kuharibu taswira ya mkuu wa nchi baada ya kutoka ziara ya mbeyaNdo maana hasira zote wanaenda kumshushia mdude.
Sasa wewe umetoka kufanya nini?!!...soma comments zako kwanza ndio uanze lawama.mddude anamatusi ya nguoni na wenyewe ndiyo walimteka ili kuharibu taswira ya mkuu wa nchi baada ya kutoka ziara ya mbeya
Nilikuwa naye ccm namjua vizuri 0iqHuyu jamaa ni mpuuzi sana nakushauri wachana naye kabisa
Yaani vipikipiki 200 kelele nyingii kama wameleta Ndege ya Airbus. Vipi yale mabus aliyopewa Tundu hayajafika tu au yamepotelea Kaskazini?Kuelekea chaguzi zinazo kuja na kuzidi kukiimarisha chama cdm tumeingiza pikipiki 200 ili kurahishisha usafiri kwa watendaji wetu ili tukiimarishe chama.
Hapa chini ni mzigo huoView attachment 1099082View attachment 1099083
Bora zimepotelea Kaskazi je zile Korando za zulma mlizoenda kuzipima skrepa?!Yaani vipikipiki 200 kelele nyingii kama wameleta Ndege ya Airbus. Vipi yale mabus aliyopewa Tundu hayajafika tu au yamepotelea Kaskazini?