CHADEMA twapoteza diwani Mwanza

CHADEMA twapoteza diwani Mwanza

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,122
Reaction score
912
Habali zilizo toka leo Aug,31,2011 jioni,diwani wa kata ya Kirumba( Mwanza ) kupitia CDM nd.Novatus Manoko kafariki dunia.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.

Poleni wafiwa na CDM. Hicho Kiti kinarudi kwa wenyewe CCM

hivi wewe jamaa unafanya kazi kweli?

Maana kila post j.f we ndo wa kwanza ku comment, au ndo ajira yako???

hivi huwa huamini kuwa nape anavija amesambaza kwenye mitandao ya kijamii

Inna Lillahi,
Wa inna Ilaihir Rajiuun!!!

Wewe je?, mwizi kambamba mwizi mwenza.
hivi wewe jamaa unafanya kazi kweli?

Maana kila post j.f we ndo wa kwanza ku comment, au ndo ajira yako???

Back
Top Bottom