Chadema tv

in connection to this, mimi kwa sasa nipo mbali kidogo na our beloved bongo.nikiwa hapo magazeti yangu huwa ni mwanahalisi, tanzania daima, mwananchi then nipashe majira. sasa kwenye mtandao nikiangalia gazeti la mwanahalisi silioni kabisa,ukilipata ni baada ya siku kadhaa kupita,wana tatizo gani?nakosa sana investigative taarifa zao! nifanyagaje? afadhali mwananchi,t.daima wanaonekanaonekana

Mwanahalisi.co.tz............... lipo kaka fungua upya utalipata.
 
Jamani akina regia, mnyika na zito mnasemaje kuhusu hilo la tv. Je limefika kwenye vikao vyenu? Tuambieni tupo tayari kuchangia ili iwepo hata redio tu.
 
Back
Top Bottom