CCM wasahau Arusha!!!pamoja na kugawa fedha na kuwrubuni vijana eti wajiunge kwenye vikundi ili wawezeshwe!!lakini hamna kitu wataambulia!!!Kula ccm kulala Chadema!!!CHADEMA DAIMA
Hongeeni makamanda kwa kazi kubwa. Ushindi ni wetu. Tuone hao mijusi wanaotumiwa wataishia wapi. Kile chama kikongwe kimeamua kuuwa watu waliokisapoti kwa miaka 50 kutumia majambazi. Ni aibu na fedheha kuu.Mjusi ajeu siku sii nyingi atajibu haya.