johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,138
Warudi wapige kaziMjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima.
Katibu huyo amewaomba wanachama wa CHADEMA kuchangia chama ili kukiwezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.
Amezungumza hayo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa mubashara na Star tv kikiongozwa na mtangazaji nguli Mansour.
Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hojaTUTACHANGIA CHAMA BORA KABISA
Mambo yanabadilika snNi kweli.
Upinzani umepooza sana!
Siyo mwanaume ni msimbe mmoja wa LUMIMBAMrembo vipi tena mbona hasira?
W e alipokufa magufuli wakafirisika mpaka ufukarani,siku hizi nasikia wanatembeza bakuri mpaka si mchezo, saidia masikini baba
Lisu atauza chama.Lisu ndiye anye faa kuwa Mwenyekiti wa Chadema sio Mbowe.......,
Mbowe aliiuza Chadema mwaka 2015, alimzunguka Dr. slaa.Lisu atauza chama.
Freeman Mbowe hana bei!
Chama gani ambacho hakina mwenyewe?Mbowe aliiuza Chadema mwaka 2015, alimzunguka Dr. slaa.
Mbowe amekitumia vibaya sana chadema kama kampuni yake binafsi.......
Lisu hawezi kufanya upuuzi alio ufanya Mbowe....
Lisu ni muwazi hana mambo ya kificho kama mbowe.
Mikutano ilisharuhusiwa?Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima.
Katibu huyo amewaomba wanachama wa CHADEMA kuchangia chama ili kukiwezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.
Amezungumza hayo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa mubashara na Star tv kikiongozwa na mtangazaji nguli Mansour.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona mwenyekiti wa ACT wazalendo mzee Duni anafanya mikutano ya kujitambulisha nchi nzima!Mikutano ilisharuhusiwa?
Au anatafuta mabalaa
Hakuna wa kuoa gumegume mkuuBado KIDOGO tu utaolewa
Si wanachama tu, CDM imewaomba watanzania wote wanaotaka HAKI, UHURU na USAWA basi wajitokeze kuunganisha mnyonyoro ..kuelekea kwenye Tanzania wanayoihitaji.Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima.