Bila Tume HURU ya UCHAGUZI itokanayo na KATIBA mpya kupatikana,
Hapatafanyika uchaguzi mkuu, ukifanyika uchaguzi huo, mshindi hatopatikana.
Itabidi dawati na jopo la waamuzi kukaa tena Ili HAKI itendeke.
Muda wa mabadiliko umefika Nyikani, historia ilopita isiwatie Giza kuyaona yajayo.
Mungu ibariki TANZANIA.
Anen