johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,569
- 145,176
Hawezi kuheshimu labda mumloge ama yapelekeni mabaya yake kwa Mwenyezi Mungu na kilio cha wengi kwa Mungu ni........Chadema imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa
Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo
Source ITV habari
apa ndipo uelewa wako ulipokomea juu ya swala hilo?Sitaki kuamini kama huu ni uchungu wa kodi tu, maana kama ni swala la kupotea kwa fedha kunatokea katika nyanja nyingine nyingi tu lakini hampigi kelele kwa kwakua mmechagua kumuimba vizuri mama yenu awamu hii.
Kuwatimua tayari mmeshafanikiwa sasa spika kuendelea kuwabeba watu ambao hawawahusu inakuwaje mwiba mchungu kwenu?
Kinachowauma kama mtaamua kukaa kimya ni ile kuonekana maboya kwa hao wanawake (kwamba wamekula mishahara miaka yote mitano) na si vinginevyo, ama niwe muwazi MNAWAONEA WIVU KIMASILAHI.
NB: Hili swala la kudai kuwa mnauchungu na hela ambazo taifa linapoteza kuwalipa ni unafiki tu😂.
Kumbe bado ni wanachama wenu?apa ndipo uelewa wako ulipokomea juu ya swala hilo?
Hujui kabisa kwamba hao watu wapo bungeni kwa jina la CHADEMA; hii wewe huoni maana yake?
Nimeandika wapi kuonyesha kuwa ni wanachama wetu; na wewe kama siyo akili ya mtindio umenihusisha vipi na uanachama wa CHADEMA.Kumbe bado ni wanachama wenu?
Chadema imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa
Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo
Source ITV habari
Sasa kinachokufanya upanick na kunitusi ikiwa sijafanya hivyo kwako ni nini?Nimeandika wapi kuonyesha kuwa ni wanachama wetu; na wewe kama siyo akili ya mtindio umenihusisha vipi na uanachama wa CHADEMA.
Achana na hiyo akili ya kipumbavu; huwa sina subira na watu wa aina yako.
Kwa hiyo hao majambazi(ccm)kuwakumbatia covid19 ndio utaifa au kuponda ushangiliaji wa mayele?Hawa chadema hewa kabisa hivi ndiyo agenda ya chama Mambo nyeti ya kitaifa wako kimya Hawa watu bure kabisa bora ccm iendelee kutawala
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
EeenHeee.Sasa kinachokufanya upanick na kunitusi ikiwa sijafanya hivyo kwako ni nini?
Hakuna shida nyingine inayokusumbua wewe zaidi ya umasikini&ufukara, masikini utamjua tu hata kwenye maandishi yake maana hutafuta pa kumalizia stress zake.
Huo muda wa kulumbana sina.
Mbona mnahangaika. Hao hawatoki mpaka 2025Chadema imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa
Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo
Source ITV habari
Kwani Chadema si awaitambui Serikali?Chadema imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa
Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo
Source ITV habari
Nimeshasema sina mjadala na wewe.EeenHeee.
Kwa hiyo hapa unapigania "utajiri" unaoutafuta kwa kuwaumiza waTanzania wenzako?
Acha niwe maskini kama ni umaskini, lakini siyo kuwa na akili za kipumbavu kama zako.
Hapa sasa unafanya nini?Nimeshasema sina mjadala na wewe.