mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Helow broda, naskia timu ya ccm imekimbia Arumeru amebakia baba mkwe tu, kwa kuwa uko kwenye payroll ya Nape hebu tujuze. Kuanzia kesho si utarudi kwenye majukwaa yako ya MMU na ChitChat kujifariji na kipigo...Naona CDM wanalinda kura kwa kutumia Mbwa koko!
Matumizi mabaya ya Sadaka ya Watanzania walio maskiniWana JF jana katika kufunga kampeni za jimbo la AM mwenyekiti wa CDM taifa alisema kura zao zitalindwa kwa helcopter na tayari nipo hapa Mbuguni naona inatua vichakani na kuruka nadhani ndo kazi ya ulinzi imeanza rasmi
Nikiripoti kutoka mbuguni ni mimi Mgeni wenu wa JF
Mgosi tunakutegemea ukiwa huko utakuwa repota mzuri wa mambo yanavyoenda. Tunataka kujua watu wamejitokeza kwa wingi? Je ni wazee peke yake kama wanavyodai magamba? Je kuna amani? Mwigulu bado yupo maana hajasikika sana recently? We ndio WA JIKONI wetu lakini hatupati vitu vya uhakika mgosi...
helkopta inalindaje kura?
Naona CDM wanalinda kura kwa kutumia Mbwa koko!
Naona CDM wanalinda kura kwa kutumia Mbwa koko!
you fool
Naona CDM wanalinda kura kwa kutumia Mbwa koko!