CHADEMA tunahitaji wakina Robert Amsterdam watatu hivi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Yes, kuelekea 2025 lazima tujipange!

Moja ya vitu tunavyopaswa kuvishughulikia ni NGOME YETU YA ULINZI 🤣🤣🤣✌️

Yes, moja ya sababu zilizopekelea downfall ya CHADEMA in this election, ni pamoja na viongozi wetu kusumbuliwa na Police. mahakamani kila siku.

Sasa basi kuelekea 2025 let us have mawakili calibre ya ROBERT AMSTERDEM.

Ngome yetu ya ulinzi itakua strong hawa lawyers wakiwepo,

police wanasumbua upinzani sababu wanapokea maelezo toka juu, na huyo anaetoa maagizo (rais) anafanya anavyotaka sababu hamna mtu anaye Question maamuzi yake,sasa akipata mtu atakaechallenge decision zake atafikiria mara mbili kuhusu kukamata kamata hovyo!

Nimeona mawakili wa NJE ndio wanafaa sababu hawaogopi chochote and it’s too risky Wakili wa ndani -Tanzania kumpinga Mahufuli waziwazi ni kujitagutia kifo!

Lawyers from OUTSIDE the country will act as security ... thank
 
Sasa hao wakina Amstadam nani anawaogopa tafuteni hata 100 wataondoka na aibu tu...........hii ni nchi huru uchaguzi ujao rais atatoka CCM tena na atapita kwa kura 100% mkawape taarifa mapema wakati mnawaajiri....

Subutuuuu jiwe akiwa challenged hatawasumbua wapinzani,sasa hivi anajiamulia tu kwa mfano trillion 1.5 zilipotea na hakuna aliyemuuliza chochote na HAKUNA sasa hivi NDANI ya nchi anayeweza kumuuliza chochote! Akipata pressure kutoka international community, mwenyewe atakua mpole, nimesema mawakili wa nje sababu wa ndani wanaweza kufutiwa uwakili, kuuwawa au kuwa harrased na police pale watakapoenda kuwa against na serikali. Vitu hivi Sio rahisi kumfanyia wakili wa nje

SAY NO TO UNYANYASAJI WA VIONGOZI WA UPINZANI #
 
Hawa ni aina ya wale wanawake ambao wanadhani wakiolewa na Mzungu basi maisha yatakuwa safi.

Tumemaliza miaka mitano na Magufuli na mambo yapo Super na sasa tumeanza mitano mingine subirini hao wakina Amsterdam waeendelee kuwaoa tu.
 
Wakati mnajipanga hivo na Sisi uku kwetu tunataka raisi wetu wawe watatu kama huyu WA SASA ......haafu uone balaaa lake.....na chaguzi nyingine tatu kama hizi au kupita hii......na hiyo mpaka wake zao tuwachukue na watoto zao pia

Jipangeni, tena mjipange haswaa, ila chini ya upinzani mzuri nyinyi hamshindi!!! chama chenu sio kinashinda Sio kwa sababu kina sera nzuri bali kinashinda sababu ya kukandamiza upinzani! Siku upinzani ukisimama vyema, police wakakaa pembeni, hamshindi ng’oo
 
Hawa ni aina ya wale wanawake ambao wanadhani wakiolewa na Mzungu basi maisha yatakuwa safi.

Tumemaliza miaka mitano na Magufuli na mambo yapo Super na sasa tumeanza mitano mingine subirini hao wakina Amsterdam waeendelee kuwaoa tu.

Mzungu oyeeee

Fatma Karume alikua anakosoa serikali, what happened to her?

No wakili kutoka ndani atakaeipinga serikali waziwazi yuko at risk ya kufanyiwa vigisu gisu

Wacha tufanye ku deploy mawakili kutoka nje, wao wanaweza kucheza game lenu la INTIMIDATION
 
Subutuuuu jiwe akiwa challenged hatawasumbua wapinzani,sasa hivi anajiamulia tu kwa mfano trillion 1.5 zilipotea na hakuna aliyemuuliza chochote na HAKUNA sasa hivi NDANI ya nchi anayeweza kumuuliza chochote! Akipata pressure kutoka international community, mwenyewe atakua mpole, nimesema mawakili wa nje sababu wa ndani wanaweza kufutiwa uwakili, kuuwawa au kuwa harrased na police pale watakapoenda kuwa against na serikali. Vitu hivi Sio rahisi kumfanyia wakili wa nje

SAY NO TO UNYANYASAJI WA VIONGOZI WA UPINZANI #
Upupu tu hao waendelee tu kupumuliwa migongoni Africa hawapawezi kama mnawataka sana nendeni muwafate huko na nyie mpumuliwe migongoni
 
Tunahitaji vijana Watanzania tu wenye kuchukia dhuluma. Wanigeria wameandamana na kuleta mageuzi katika jeshi lao la polisi kwa damu ya vijana yao, Wakenya walifanya hivyo pia... Wala hatuhitaji Wazungu.
 
Mimi sioni sababu ya kusubiri hadi 2025. Iundwe Serikali ya mpito kwa miezi kadhaa ambayo jukumu lake kubwa itakuwa ni kuandaa uchaguzi mwingine kupitia tume huru ya muda ambayo itachaguliwa vile ambavyo Serikali hiyo ya mpito itakavyoona sawa. Hiki kituko kilichofanyika si uchaguzi hata chembe.
 
Mkuu sijui km umeielewa hii mada, sijasema wazungu walete changes in our party but they should be there to act when our party leaders are harrased by police, this will stop INTIMIDATION from the government
 
Mimi sioni sababu ya kusubiri hadi 2025. Iundwe Serikali ya mpito kwa miezi kadhaa ambayo jukumu lake kubwa itakuwa ni kuandaa uchaguzi mwingine kupitia tume huru ya muda ambayo itachaguliwa vile ambavyo Serikali hiyo ya mpito itakavyoona sawa. Hiki kituko kilichofanyika si uchaguzi hata chembe.

I agree with you mkuu, hivi vilivyofanyika ni vituko,Sio uchaguzi, viongozi wetu msisubiri mambo yapoe, shinikizeni uchaguzi urudiwe
 
Back
Top Bottom