CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

bora kuwa gamba lenye akili kuliko gwanda zombi! Zitto ndio mwanasiasa pekee chadema anayeaminika akiongea na watanzania

ha ha ha hakuna gamba lenye akili kambale wote wanafanana tu "inyenzi" bhana
 
nini makosa ya zitto kati ya haya?

1.kuhoji matumizi ya ruzuku ya chama?
2.kuhoji kuhusu ukaguzi wa ruzuku?
3.kukataa posho?
4.kutaka kugombea uenyekiti?
5.kuto watonya?
6.kuandaliwa na wakina kitila kuwa kiongozi kama mtei alivyo kuwa ana muandaa arfi?

Mkuu mbona unaturudisha nyuma? hapa tuanaangalia mbele! Hata hivyo ni vizuri kufuatilia ya wengine kuliko hayo mengi ya muhimu huko kwenu (chama tawala). Mkuu tengeneza nyumba yenu iimarike maana kila kukicha inabomolewa!!!
 
ha ha ha hakuna gamba lenye akili kambale wote wanafanana tu "inyenzi" bhana

magamba wanaongoza nchi toka uhuru, wakati magwanda wanatumia helikopta tatu kupata kata tatu. Je hapo huoni nani akili za inyenzi?
 
Mimi ni ZITO ZUBERI KABWE,nimesoma michango mingi katika huu uzi yote ninayakubali ila ninachokataa ni kulinganishwa na Yuda Eskariote yule aliyemsaliti yesu, mimi siyo msaliti kihivyo, Yuda alikuwa ni mfuasi wa Yesu Kristo Mnazareti, Yuda alikuwa anaandamana na yesu kila anapokwenda, alikuwa anaona kwa macho yake ile miujiza mkuu Yesu aliyokuwa anafanya kama kumfufua Lazaro, vipofu kuona wakoma kutakata n.k.kwa hiyo wale wayahudi walivyomwendea na vipande 30 ili awaonyeshe Yesu aliko(amsaliti) Yuda aliwashangaa na kuwaona wale ni wajinga kwa maana alijua Yesu hakamatiki, amacho Yuda hakukijua ni kwamba ilibidi mtu afe ili neno litimie.

Kwa hiyo Yuda alipokea zile hela akawapeleka kwa Yesu ili washindwe kumkamata ili baadae awacheke awarudishie na pesa zao. Ndio maana alivyoona yesu amekamatwa alijaribu kuwasihi wamwachie na awarudishie fedha zao maana lengo lake halikuwa hilo, ndiyo maana walivyokataa kupokea vile vipande vya sent Yuda aliamua kujinyonga
Mafunzo tuyapatayo toka kwa Yuda ni;-

1. Jitahidi usilichafue jina lako au haiba yako maana kujisafisha huwa inachukua miaka 100, ndio maana Yuda anajulikana ni msaliti hadi leo, na Wasamalia ni wema hadi leo', na mimi Zitto ninaitwa msaliti.

2. Tusijiamini kupita kiasi katika maisha, kujiamini sana ndiko kulikomponza Yuda maana alijua fika Yesu hawezi kukamatwa , overconfidence ni mbaya hata kama mtu anakudai na fedha unazo bank usimwambie kesho lazima nitakulipa pesa zako kwani kesho unaweza kukuta bank imefungwa kwa mgomo au kama alivyofungwa Meridian BEAO bank basi ukawa umeadhirika

Kuhusu usaliti wangu ninadaiwa:_
1. Ninadaiwa nimekisaliti chama ambacho teyari watu wengine walikuwa wamepoteza maisha kwa ajili ya chama cha CHADEMA kwa maana kukitetea;
2 . Katika matatizo makuu kama ya Arusha watu walipigwa mabomu sikuwepo, watu walilengwa na risasi za moto mimi sikuwepo hiyo pekee iliwavunja moyo wapiganaji wenzangu
3.Nimekaa kimya mda mrefu katika mijadala migumu bungeni nikawaacha wapambanaji Tundu Lissu na John Mnyika wakipambana , ilitakiwa kabisa na mimi nitie neno.

Lakini mbona mimi nilihusika peke yangu katika kutafuta akidi itakayowezesha kumn`goa Waziri mkuu na nilifanikiwa ndio maana rais alilifumua baraza lake la mawaziri kumnusuru waziri mkuu asiende na maji?

Mwisho, mimi ni kweli ni msaliti zaidi ya Yuda ESKARIOTI yeye alikuwa anajaribu huenda mimi nilifanya kweli
KWA HIYO NINAOMBA MSAMAHA NIRUDI KUNDINI NA MWENENDO WANGU UANGALIKWE KWA MIAKA 5, KAMA NIKIFANYA USALITI TENA NIFUKUZWE. Wenzangu kuteleza siyo kuanguka.
 
Yeye mwenyewe awaombe razi viongozi wa chama na wanachama wote kwa ujumla basi chama kitamsamehe lakini kama ataendelea kukaa kimya eti chama kitamwangukia basi asahau icho kitu. Chama anakipenda lakini sasa ajitoe Fahamu awaombe razi wanachama watamsamehe kwa kua yeye ni binadamu lazima awe na mapungungufu
 
Tukumbushane zito ni mkristo kuanzia lini?
 
Andiko hili kaandika nani? Au yeye mwenyewe ZZK?

Nmemwona yeye mwenyewe ZZK pale mjengoni kavaa gwanda! Kumbe huyu bada ni CHADEMA? Naona bado anakipenda chama chake huyu!

Mwisho jamaa bado anaweza kutafutwa na kuwa kwenye uangalizi wa karibu, lakini pamoja na ukweli kuwa chama ni zaidi mtu, lakini kumkosa jamaa ni shida kidogo!
 
Yeye mwenyewe awaombe razi viongozi wa chama na wanachama wote kwa ujumla basi chama kitamsamehe lakini kama ataendelea kukaa kimya eti chama kitamwangukia basi asahau icho kitu. Chama anakipenda lakini sasa ajitoe Fahamu awaombe razi wanachama watamsamehe kwa kua yeye ni binadamu lazima awe na mapungungufu
Zito kusamehewa abakie cdm ni sawa na kumfuga nyoka ndani ya nyumba kwa mategemeo kuwa akikuwa atawatafuna panya ndani ya nyumba na matokeo yake anakugeuka wewe uliye mfuga.Wacha aendelee kulaanika huko Act.
 
Wewe sio zito kabwe acha joks za kitoto muda huu sio muda wa masiara huu ni muda wa ukombozi kwa Tanzania acha comed kwenye mambo ya ukombozi
 
Back
Top Bottom