CHADEMA tumieni mbinu hii

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini

note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
 
raia vijijini Hawana awareness what is going on makongamano ni muhimu kwan mikutano imepigwa marufuku
 
1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini

note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Namba 1-4 wanatakiwa KUITWA ili wapewe ushahidi, namba 5 pekee WASIITWE na badala yake wapelekewe ushahidi ifisini.

Nadhani waandishi wa habari ndo waitwe ili wapewe ushahidi na hao wote uliotaja wapelekewe hicho kinachoitwa ushahidi, watahisi kuthaminiwa na kuheshimiwa. Watafanyia kazi ushahidi huo kuliko kuitwa as if wao ndo waathirika wa kwanza.
 
1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini

note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Pia wasiache kujitoa muhanga kwa kuandamana japo kikundi cha viongozi tu, wasiogope sana kufa...
Kwa hali ilivyo bila watu kukubali kujitoa dhabihu ya damu, hu nduli hatarudi nyuma!
Kuna umuhimu gani kuishi kwa woga na hofu wewe na watoto wako, mke wako maisha yote!!
Hapana bwana!
 
chadema ni wazuri katika kulia na vyombo vya habari wakiambiwa watoe ushahidi wanakimbia
Bomu la arusha mbowe alisema anao ushahidi,mpaka leo kimya na Tanapa kimya
Chadema hawajawahi kuwa serious,ni wapigaji tu wa ruzuku na wasanii
 
1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini

note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Ni ushauri mzuri. Umenikumbusha kitabu cha "Weep not child " (1964)cha Ngugi wa Thiong'o. Katika kitabu hicho ambacho kinamuongelea kijana wa Njoroge, aliyeachiwa na mama na mama yake wa kambo kutoka kwa baba yake. Kabla ya baba yake kukata roho alimwambia " weep not child" akiimanisha asitumie muda mwingi kuomboleza na badala yake aendeleze mapambano ya kujikomboa yeye na mama zake na kwa ajili ya uhuru wa taifa lake la Kenya. Tumekusikiliza na tutachukua hatua.
 
Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania hawana dhamira ya dhati ya kushika dola na kuwakomboa wanyonge, just a group of cowards na watafuta ruzuku kwa ajili ya matumbo yao! Awamu hii ndio kipimo sahihi cha upinzani. Haiwezekani mpinzani unaambiwa kaa kimya na we we unaufyata unabaki kulia lia mitandaoni kama zitto!
 
chadema ni wazuri katika kulia na vyombo vya habari wakiambiwa watoe ushahidi wanakimbia
Bomu la arusha mbowe alisema anao ushahidi,mpaka leo kimya na Tanapa kimya
Chadema hawajawahi kuwa serious,ni wapigaji tu wa ruzuku na wasanii
Wako sawa na Lugola mtoa matamko kupitia vyombo vya habari kila siku?
 
1) waiteni viongozi wa lhrc wapeni ushahidi
2)waiteni viongoxi was dini wapeni ushahidi
3)Iteni taasisi za kijamii km jukwaa LA katiba n nyengine wapeni ushahidi
4)waitem tanganyika law society wapeni ushahidi
5)peleni ushahidi ktk balozi za USA n ulaya
5) andaeni makongamano kwa kushirikiana n taasisi tajwa hapo kushughulikia hali ya siasa inaavyoendelea kwa kulipia airtime kwa baadhi ya TV n radio stations, pia jukwaa LA wahariri waelemishwe wawe n makala kuhusu hali yasiasa nchini

note. ushahidi ni collection ya matukio yote n indicator mby toward 2020
Sawa kabisa.Hiyo iwe kabla ya kufanya maamuzi magumu sana.
 
Back
Top Bottom