Elections 2010 CHADEMA Tumieni busara WaTz wanawapima kwa miaka 5 hii

Maneno yako sawia. Unajua Chadema hawajijui kuwa wao ni wachanga saaaana kisiasa. sasa wanataka wanze kwa moto Mkali.

hawajui kuwa wanataka kudandia treni kwa mbele. Ngoja tuone mwisho wao..
inakuuusu nini wakati hukuchagua chadema! makamba alisema wanaopinga kulipa dowans wahame chama na nyinyi hatuwataki cdm!
 
kumbe inakuuuma na wewe makamba jeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…