CHADEMA Tumieni busara WaTz wanawapima kwa miaka 5 hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Tumieni busara WaTz wanawapima kwa miaka 5 hii

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by charityboy, Feb 9, 2011.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili wafaidike 2015, huenda wakaharibu zaidi na kufutika kwenye ramani ya siasa za bongo. Hivi wabunge wa CDM watatoka bungeni mara ngapi? Hii njia aliyobuni mbowe ya kutoka bungeni nafikiri sio muafaka. Nahisi mhe. ZITTO alikuwa sahihi alipokataa kutoka bungeni kugomea hotuba ya Mhe. RAIS.
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huna hoja
   
 3. c

  charityboy Senior Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kukurupuka, eleza.
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wewe ni Chadema? Kama sio acha waliopigia kura wabunge wa Chadema walalamike. Chadema wamefanya kile ambacho tu wanachama wake tunakitaka, ndicho tulichowatuma huko bungeni...kupigana na udhalimu na ufisadi. Hata kama wakitoka kila siku kwa hoja sizizo na tija, tutawaunga mkono.

  Hatulali...mpaka kieleweke!
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Jipange mwenyewe!
   
 6. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  kumbe ww c chadema....sasa umejuaje kama hatujawatuma hivo wanavofanya???? nyambaf kimyaaaaaaaaaaaa
   
 7. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :A S thumbs_down:
  Mbona unatusemea??? We chizi kweli, nenda kawashauri washamba wenzako waliopoteza mwelekeo na kufanya mambo kama watoto wa chekechea.
   
 8. ZIPOMPAPOMPA

  ZIPOMPAPOMPA Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red, acha kupotosha, zitto hakuwepo ndani ya bunge kabisa. Wewe ubongo wako utakuwa umejaa usaha, chadema hawaangalii kufaidika 2015 tu, bali wanaangalia utekelezaji wa majukumu pamoja na kutokukubali kuburuzwa na hao wanaume zako uliotaja hapo juu.
   
 9. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  duh, msameheni jamani !!!!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha ushoga wewe dada!
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Sikia mkuu,cdm haitafuti kufaidika 2015,inatafuta kutukomboa kutoka kwenye mfumo mpya wa uchimi-ccm. Jana Mbowe kawaeleza wazi kuwa iyo itakuwa njia mojawapo ya kukataa hoja dhalimu milele watatoka nje kutueleza watz kuwa kilicho ndani ya bunge kwa wakati watakapokuwa nje ni uozo! Iyo itadumu kwa miaka 5,jitaidi uzoee mfumo wao mpya maana ni endelevu.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  inatia kinyaa sana kuona wezi wa mali ya uma kwa kutumia wingi wao wanapitisha mambo yasiyo na toja kwenye muhimili wa dola kwa sababu ya ulegevu wa sheria na kanuni mbaya.
  kifupi siwaungi mkono sana cdm katika namna wanavyoshughulikia maswala nyeti ya maslahi ya uma bungeni lakini mahali popote penye uonevu na ukandamizaji wa haki hilo ndilo wanalopaswa kulifanya.
  waziri mkuu asubuhi hii kalidanganya bunge mbunge anaomba mwongozo wa spika anakaripiwa hapo unategemea nini?spika ni kiongozi wa kanuni za bunge na akishachaguliwa haitegemewi awe anakibeba chama chake waziwazi namna hii.
  juzi halima mdee wakati anachangia hoja ya kanuni aliwaambia wabunge wa ccm wasifikiri wataupunguza moto wa cdm kwa kutumia wingi wao kuburuza kanuni lakini cha ajabu badala ccm wamjibu spika akarukia kwamba unamtisha nani?
  ndiye spika tuliye nae tunayetegemea aliendeshe bunge la karne hii lenye chanagamoto nyingi.
  chadema endeleeni na moto huohuo mpaka haki ipatikane.watanzania wapenda haki tupo nyuma yenu.
   
 13. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kampe baba yako jk ushauri huu wa bure.
   
 14. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huna hoja kbs, kutoka nje ni suala lipo tena siku nyingi, sema ni geni Tanzania. Uko upande mmoja na wanaCCM wenzio wanaona ni kitu cha ajabu, kumbe it's one way of expressing your concerns and dissatisfaction. Sasa hapo aliebobea ktk siasa ni nani? Anaetoka au anaeshangaa watu kutoka kama kwamba ni majambozi. You're as outdated/obsolete as CCM.
   
 15. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kama hujui Mabunge ya Dunia na Purukushani zake kwa nini Utoe maoni na ushauri butu??
  Kwa nini uwe na wasiwasi??


  Hivi wewe unadhani CDM ndiyo wabunge wa kwanza Duniani kususia Vikao katika Duru za Mabunge ya Common Wealth??

  Hiyto Tisa Subiri siku ngumi mateke na kabari zikifumuka ndani ya Bunge utapata ugonjwa wa moyo ufe kwa mshangao.
   
 16. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitaeleweka hapo nyuma ya PC kweli?tusubiri tuone!!
   
 17. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe umeacha switii?
   
 18. M

  Mwera JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sema wewe unaridhika ila sio wapigakura wengine usizisemee nafsi za watu,watu wamewapigia kura wabunge wa chadema waende wakawatee nakuwaletea maendeleo sio kugomagoma nakutoka kilasiku bungeni,tatizo wanaburuzwa nahuyo j**a mbowe toka lini mtu aliefeli form 4 akawa kinara wa kisiasa kama sio uzumbukuku?
   
 19. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maneno yako sawia. Unajua Chadema hawajijui kuwa wao ni wachanga saaaana kisiasa. sasa wanataka wanze kwa moto Mkali.

  hawajui kuwa wanataka kudandia treni kwa mbele. Ngoja tuone mwisho wao..
   
 20. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  aaah dada naona umetumwa na ccm au wewe mke wa makamba au ndo ziiile za mkwere kupiga kiaina na unamtetea, tunajua saana kuwa anapenda totooozi!
   
Loading...