Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,789
- 128,806
Uko sahihi hasa ukizingatia ccm ikibanwa unachukia. Sasa tugawane majukumu, ww rekebisha mapungufu ya ndani ya cdm, wengine wataendelea kuibana ccm. Hapo vipi?Ili kuwa na legiticimacy kuibana Ccm lazima tujikosoe na kubadilika kuondoa mapungufu yetu. sawa Kamanda?