jitokezeni vimbulu kupambana na UKUTA.!!!!!Wote mliona mbunge sugu alivyolidharau mbunge kwa kuonyesha dole la kati na upewa kaadhabu kadogo na naibu spika.
Wote mlisikia mbunge msingwa alivyotukana matusi makubwa akiwa ITV ma adhabu hakupewa na adhabu kupewa itv.
Hayo ni machache ambayo yalisahaulika kwenye kakikao uchwara huko serengeti
Vijan tupo imara kuubomoa ukuta wa tofali mbichi utakaojengwa
Kimburu mwingine huyu!!Hii mikwara tu,na hata mleta uzi ameutoa kiuchochezi haswa!
Huyu naye jibu...
Ninyi tunawajua,mnapambania matumbo yenu.
hao wote uliowataja ni group la ccm hawawezi ongea tunataka rais afute kauli zake potofu.Jamani chonde chonde na UKUTA....naona mahakama ya ICC inakuja na sijui kama tunao kina Kibatala na Tundu Lissu wengi.Tuongeeni yaishe.....nyiye viongozi wa dini muko wapi...????hasa wale wa kamati ya Amani.....hatupendi sura zenu kwenye TV....Tunataka mayendo yenu ya kimaliza hili la Ukuta salama.
Hayupo kimburu wa kuwashinda ninyi ufipa.Kimburu mwingine huyu!!
Wewe endelea tu siku ya kuumwa kisogo na madikteta unakujia hawachaguaji unajua!! Na jinsi ulivyo mnafiki.Hayupo kimburu wa kuwashinda ninyi ufipa.
Kauli zipi?hao wote uliowataja ni group la ccm hawawezi ongea tunataka rais afute kauli zake potofu.
swissme
Kama una shughuli za kufanya,huwezi tumikishwa na wanasisa kijingakijinga.Wewe endelea tu siku ya kuumwa kisogo na madikteta unakujia hawachaguaji unajua!! Na jinsi ulivyo mnafiki.
Kimya cha mjinga kina mshindo kuliko kelele za mpumbavu.Wewe endelea tu siku ya kuumwa kisogo na madikteta unakujia hawachaguaji unajua!! Na jinsi ulivyo mnafiki.
Wewe mtoto wa kiume/kike masuala ya mlegezo yamepitwa!! Katiba inavunjwa wewe unafinya pua "kazi". hujielewi weyeKama una shughuli za kufanya,huwezi tumikishwa na wanasisa kijingakijinga.
Ishara hiyo inaonesha ni namna gani wenzetu hamna kazi na badala yake mnatafuta kufarakanisha watu kwa kujineemesha.
Kwani wanasiasa wote wakitulia tukachapa kazi mwisho wa cku c mda utasema?
Watanzania wana weledi mkubwa...
hayo ndio maneno hata mwenyekitiki huwa anaonge wakati IPTL wanalipwa BILLION 400 kwa siku wewe vipi.juzi mmekwapua million200 sasa nchimbi kesho escrow keshokutwa buzaghiKauli zipi?
Baba mwenye nyumba lazima awe na kauli ya mwisho...otherwise mtafute rais tofauti na magu.
Kivungu kipi cha katiba kimevunjwa?Wewe mtoto wa kiume/kike masuala ya mlegezo yamepitwa!! Katiba inavunjwa wewe unafinya pua "kazi". hujielewi weye
Mbona ninyi hamhoji b.13 za lowasa?hayo ndio maneno hata mwenyekitiki huwa anaonge wakati IPTL wanalipwa BILLION 400 kwa siku wewe vipi.juzi mmekwapua million200 sasa nchimbi kesho escrow keshokutwa buzaghi
swissme
KIVUNGU!!!! kweli kumbe hamnazo sikujibu tena!! Zao la kata vodafasta!!!Kivungu kipi cha katiba kimevunjwa?
Je,maandamano ndio sulihisho?
Kivungu=kifunguKIVUNGU!!!! kweli kumbe hamnazo sikujibu tena!! Zao la kata vodafasta!!!
Wakala kazini! Ubongo mdogo sana huu!!Hii mikwara tu,na hata mleta uzi ameutoa kiuchochezi haswa!
Huyu naye jibu...
Ninyi tunawajua,mnapambania matumbo yenu.
Mbona ww cjakuita wakala kwa kujitambulisha kwa mlengo wako?Wakala kazini! Ubongo mdogo sana huu!!