CHADEMA: Tuko tayari kwa UKUTA 01/09/2016

CHADEMA: Tuko tayari kwa UKUTA 01/09/2016

Wote mliona mbunge sugu alivyolidharau mbunge kwa kuonyesha dole la kati na upewa kaadhabu kadogo na naibu spika.

Wote mlisikia mbunge msingwa alivyotukana matusi makubwa akiwa ITV ma adhabu hakupewa na adhabu kupewa itv.
Hayo ni machache ambayo yalisahaulika kwenye kakikao uchwara huko serengeti
Vijan tupo imara kuubomoa ukuta wa tofali mbichi utakaojengwa
Iyo picha ya Kuedit ndyo wataka kutuletea hpa.
 
Ww unao ushahidi?
juzi ccm uvccm wamekaa kikao na kumvua Mapunda na seki tuuma za kuiba million 200.
uvccm.jpg

swissme
 
Wote mliona mbunge sugu alivyolidharau mbunge kwa kuonyesha dole la kati na upewa kaadhabu kadogo na naibu spika.

Wote mlisikia mbunge msingwa alivyotukana matusi makubwa akiwa ITV ma adhabu hakupewa na adhabu kupewa itv.
Hayo ni machache ambayo yalisahaulika kwenye kakikao uchwara huko serengeti
Vijan tupo imara kuubomoa ukuta wa tofali mbichi utakaojengwa
mboma msukuma alitukana eti.... Lowasa alijinyea tena akiwa live......star tv....hizo faini mbona hatukuziona.
 
Kutunishiana misuli haisaidii, hatutaki kuona mapambano kati ya dola na wananchi, haya mambo ya kuminyana demokrasia yanazungumzika, awamu ya tano chonde hatutaki damu
 
Magu ana mbwembwe eti sijalibiwi, utafikiri anapigana yeye kumbe anatuma polisi kamata kile, UA yule. Mwaka huu atacheki Picha alidhani urais ni uwaziri wa barabara.
 
Hii nimeipenda. Nimpango mkakati mzuri wa kuimalisha demokrasia nchini tena kwa amani.

Wito: Sijaona bendera mpya, t-shirt na vipeperushi mikoani. Haya yote yafanyike kwa amani unless lumumba na serikali yao watake tofauti yake.
 
Back
Top Bottom