CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,543
Reaction score
14,803
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
 
furaha iliyojee kuanguka kwa ccm 2015 na chadema kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi ccm,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini ccm na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.
tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

A
u tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
ni mapema sana kuuliza swali hilo kwani mwaka 2060 bado mbali sana subiri kama utakuwa hai mwaka 2058 ndio uulize swali hili
 
Tutampa Kikwete uwaziri wa utawala bora, ajifunze namna ya kutawala na kuongoza
 
Tutampa kikwete uwaziri wa utawala bora, ajifunze namna ya kutawala na kuongoza

Hata mie naiombea chadema hivyo, naona mafisadi wafilisiwe mali zao waachiwe kiasi kinachoendana na vipato vyao ambayo vinaeeleweka kupitia mishaara. mali zao zilizofilisiwa zitumike kwa uwazi na kuzifanyia maonesho yenye publicity kali ili wananchi waone thamani ya mali yao iliyoibiwa. mafisadi waachwe wajionee wenyewe na uso utawashuka na watajuta na hatimae kuwa raia wema.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Jiliwaze na ndoto za mchana bado sana!!!!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
hii sio hoja ya msingi kwa sasa hata kesho jaribu kufikiria chadema ikuchukua dola leo au tutawafanyia nn watanzania?
 
Waonyesheni kwa vitendo jinsi ambavyo nchi inaweza kuendeshwa na kujikomboa kutoka lindi la umaskini bila ufisadi, na jinsi ambavyo mkulima kule kijijini anapaswa kutendewa na viongozi wake wa nchi.
 
tutawafunza jins ya kuendesha nchi hii

na tutawafunga wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingne ikibid ktk kuingamiza nchi hii
 
nafurahi sana siunajua wala mirungi anaanzaga kufua nguo kabla hapajakucha sasa chadema wameshakua na rais wao hata tundaman ni rais wa manzese slaa ni rais wa garatu
 
hueleweki mchuzi wa nyoka
au una hisa zako ccm nin?
zihamishie uswiss faster,ila 2015 tutazirudisha zote
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
kwa kuwa utawala utakuwa wa kufuata haki na sheria hapo ndipo kutakapokuwa kila mwana ccm kubeba dhambi zake, kilio na kusaga meno
 
kwanza hawa wanapigwa gwaride la utambulisho huku wakionyeshwa live kwenye tv
 
ni mapema sana kuuliza swali hilo kwani mwaka 2060 bado mbali sana subiri kama utakuwa hai mwaka 2058 ndio uulize swali hili

kp03012013.jpg
 
Tutawafanyia kitu mbaya chali yangu,mi ntaanza na ritz na chama
 
Hivi wewe unafikiri Tanzania ni gunia la mahindi,eti mtachukua nchi,kweli bangi baya.
 
Back
Top Bottom