CHADEMA tujitathmini upya kama hii mbinu ya kuwazulia kashfa ya vyeti wabaya wetu itatuvusha 2020

Kada wa CHADEMA

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
289
615
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameanzisha mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Kwa vile Mwenyekiti wetu ni mmoja wa watuhumiwa, tumeshirikiana na akina Mange Kimambi na Josephat Gwajima kumzushia kashfa ya kutumia jina lisilo lake na vyeti kujiendeleza kitaaluma. Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha madai hayo na sisi tuliozua kashfa hiyo tunamlazimisha Makonda awasilishe vyeti ilhali tulisema tunavyo.

Wakili Godfrey Songa baada ya kufungua kesi Mahakamani ili uchaguzi wa TLS usimamishwe hadi hapo kanuni za kuendesha uchaguzi wa chombo hicho zitakapotungwa na Bunge tumetumia mbinu ile ile ya Makonda. Copy and Paste. Eti Wasonga majina yake ni Elia William na baba yake ni Mjaluo Raia wa Kenya! Ridiculous.

Wasiwasi wangu, je hii mbinu tunayotumia itatusaidia vipi kutuvusha salama 2020? Mahasimu wetu CCM wamejipanga kweli. Tena si mchezo. Wanafanyia Service chombo chao kwa kumwaga Oil Chafu na kuweka mpya. Cha ajabu sisi tunachukua Oil iliyomwagwa na CCM tunaweka kwenye engine yetu eti tutegemee tuwe na ushindani sawa. Kukosa akili. Mbaya zaidi tunamtumia dereva yule yule aliyeshindwa kukimbia hata mita 100 apambane na mtu aliyezunguka nchi nzima kwa gari. Kichekesho
 
Kwani aliyeanzisha suala la Vyeti ni chadema au gwajima, unaonrkana unadandia Gari kwa mbele, futa upuuzi huo
 
Hahahah huyu kaamua kutikisa sabuni watu watoe mapovu.... Kada wa Chama halafu uweke profile pic ya kichovu namna hii..... huyu lazima ni wa uoto wa asili huyu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameanzisha mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Kwa vile Mwenyekiti wetu ni mmoja wa watuhumiwa, tumeshirikiana na akina Mange Kimambi na Josephat Gwajima kumzushia kashfa ya kutumia jina lisilo lake na vyeti kujiendeleza kitaaluma. Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha madai hayo na sisi tuliozua kashfa hiyo tunamlazimisha Makonda awasilishe vyeti ilhali tulisema tunavyo.

Wakili Godfrey Songa baada ya kufungua kesi Mahakamani ili uchaguzi wa TLS usimamishwe hadi hapo kanuni za kuendesha uchaguzi wa chombo hicho zitakapotungwa na Bunge tumetumia mbinu ile ile ya Makonda. Copy and Paste. Eti Wasonga majina yake ni Elia William na baba yake ni Mjaluo Raia wa Kenya! Ridiculous.

Wasiwasi wangu, je hii mbinu tunayotumia itatusaidia vipi kutuvusha salama 2020? Mahasimu wetu CCM wamejipanga kweli. Tena si mchezo. Wanafanyia Service chombo chao kwa kumwaga Oil Chafu na kuweka mpya. Cha ajabu sisi tunachukua Oil iliyomwagwa na CCM tunaweka kwenye engine yetu eti tutegemee tuwe na ushindani sawa. Kukosa akili. Mbaya zaidi tunamtumia dereva yule yule aliyeshindwa kukimbia hata mita 100 apambane na mtu aliyezunguka nchi nzima kwa gari. Kichekesho

Eti huyu anajiita kada wa CHADEMA........Dizaini za watu kama hawa ni wale ambao wanabadili jinsia zao kwamakusudi
 
Wee jamaa ni lumumba team bhana, acha kuzuga.
Daudi Bashite alete vyeti vyake.
 
Mi nadhani wazo zuri, na ili kuwaumbua hao chadema....wahusika wathibitishe vinginevyo.
 
1630.jpg
Huyu Mzee kapotelea wapi siku hizi ?
 
Back
Top Bottom