CHADEMA tufungue kituo cha televisheni

Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .

Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.
Mkuu Oscar, japo umetumia jokes kuwasilisha mada yako, but hoja hii ni ya msingi sana and its long overdue, hivyo naunga mkono hoja.

Kwanza ile 2012 niliwashauri Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... hapo niliwaambia
Enzi zile za ule upepo wa kisulisuli cha Kaskazi ulipoipiga Chadema, nikajua Chadema itamiliki media yake Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! hapa nilishauri
Ni muhimu sana Chadema iwe na media yake, huwezi kushika inchi kwa kutegemea media za wengine!, kila kipindi cha uchaguzi, media huwa zinafanya endorsement, Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea?
most media za Bongo zina endorses CCM kwasababu...!
P
 
Hahahahaha mkuu wachungaji kuna malipo hawalipi tcra wala ktk ving'amuzi ..nakubaliana na wewe ila tv cha wachungaji usifananishe na tv hz za current affair..

Gharama zipo ktk vifaa
Gharama zipo ktk kulipia tcra
Gharama zipo kulipia ktk king'amuzi kila mwezi na kila mkoa unaofika ..walau ufike mikoa 5 .
Gharama zipo ktk uendeshaji na uzalishaji wa vipindi
 
Cdm hata zile online platforms naona km wamezembea hv ila huwezi kujua ugumu wanaokutana nao
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Your browser is not able to display this video.
Suggu Kuhusu ganja: ...zamani kidogo kimtindo nilikuwemo ndio mana mpaka leo inanipa msimamo
Maghayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…