CHADEMA toeni tamko la kuwaunga mkono ACACIA

Kweli kuna uwezekano mkubwa ndio maana basi Tundu Lissu na viongozi wenzake wanatoka povu kuwatetea hawa mabepari
 
Naona sasa kuchangia hizi mada za Babarosa ni kama kucheza ngoma ya mwendawazimu. Sidhani kuwa mleta mada ni mjinga kiasi hiki bali ni strategic za kuleta ujinga ili watu wa concentrate ujingani na kusahau mambo ya msingi.
Hizi ni mbinu za kijinga sana
 
Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema na Lowassa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acacia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?

Umetonywa na chenge au kikwete himself?
 
Waliotajwa kuhusika na "hujuma" ya Acacia karibia wote ni wana CCM, CHADEMA ingefaidikaje? Mbeba mizigo anawezaje kuwa Mwapachu wakati aliyekabidhiwa bonge la dhahabu ndiye aliyewaita watu Malofa na yuko kwenu CCM?
Hii haihitaji nguvu sana kujua sababu yake...CCM ndiyo mekuwa madarakani kwa miaka yote, na hivyo viongozi mbalimbali ndani ya serikali ya CCM ndio ambao husaini mikataba na pia kuhusika na resources.....Kwa hiyo hilo ni obvious...Kinachoshangaza ni pale CHADEMA wanapokuja na hoja mfilisi kuwa CCM ndio wanaohusika kama chama...CCM ndiyo yenye sera za kupiga vita rushwa sasa kama chama kitahusika vipi na uchafu huo??? Wapinzani wameshindwa hoja katika hili katika suala hili la mchanga wa dhahabu, walikuwa wanapinga juudi za JPM katika suala hiili...baada ya kuona suala hili limekuwa moto waabadili angle ya issue....IT IS TOO LATE!!!!!
 
Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema na Lowassa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acacia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…