ONG'WASAMBA-Busega
Member
- May 20, 2014
- 31
- 8
by mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin.hii ni ishara ya mwisho cha chadema.nawasilisha
Unaweweseka tu wewe. Mziki wa Kinana hauchezeki kbs...ukawa kwishaaaAcha uongo wewe kama huna la kutuma tafuta kazi nyingine. Mimi nilikuwepo tokea mwanzo hadi mwisho wa mkutano. Kwanza Kinana na mawaziri wanne kusafisha gundu lililompata Makamba na viongozi wa mkoa kuzomewa na wanachuo wa SAUT - Tabora kutokana na kutaka kuwahadaa wanachuo hao kutoa tamko la kuunga serikali mbili.
Naomba mjue kuwa watu waliokuwepo hapo kwenye mkutano wa Kinana wengi wao walisombwa na maroli na mabasi ili kufanya mkutano uwe na watu wengi.
Mleta mada acha uzuzu wa kuleta uongo hapa. Mimi nipo Tabora na ujue ukilinganisha idadi ya watu kwa CCM na UKAWA, UKAWA the best times 2.
by mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin.hii ni ishara ya mwisho cha chadema.nawasilisha
vijana wa Tabora bado wako gizani na ni rahisi kudanganyika kama waliweza kumshangilia kinana kwa kuwaambia kwamba bendera ya nchi haina maana yoyote kuhamia ccm kwa kupewa fulana si,kitu cha ajabu watajifunza watakapokuwa wanaona wenzao wa miji kama ya Arusha wanavyopata maendeleoby mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin.hii ni ishara ya mwisho cha chadema.nawasilisha
Unaweweseka tu wewe. Mziki wa Kinana hauchezeki kbs...ukawa kwishaaa
Hayo ni tisa, kumi ni wanachama 89 wa chadema wamehamia ccm.Join Date : 20th May 2014
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
Hii ni ishara tosha kwa hiki ulichokiwasilisha na kama na wewe ni mmoja wa wanafunzi wanaosoma hicho chuo cha Sauti hapo Tabora basi tutarajie na wewe kuishabikia CCM kwa kuwa tu hauna uwezo wa kufauru hicho unachokisomea isipokuwa utategemea kubebwabebwa tu.
Ukawa = ukauaUjangili kazi nyepesi? Unataka roho ngumu!
Sizitaki mbichi hiziTabora njaa na uzuzu utawamaliza