Chadema : Tano bora haitamsaidia january kushinda ubunge

Chadema : Tano bora haitamsaidia january kushinda ubunge

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,997
Reaction score
288,242
Chama cha demokrasia na maendeleo kimesema hatua ya mgombea ubunge wa ccm kuingia tano bora za watia nia ya urais wa chama hicho , si kigezo cha kufaa kuliwakilisha jimbo hilo , badala yake wapiga kura wamehamasishwa kuwakataa wagombea kupitia ccm .
 
Hayo yamebainishwa na msemaji wa kampeni za ubunge wa bumbuli ( chadema ) , Frank shempemba wakati akimnadi mgombea wa chama hicho mh David Chanyeghea kwenye kijiji cha masamaka , ' msibabaike na tano bora ya makamba , mlichotarajia ni mabadiliko ya maendeleo ambayo ameshindwa kuwaletea , sifa hiyo inamsaidia yeye , familia yake na ccm ,hawana jipya achaneni nao ' alisema bwana shempemba .
 
January, Nape, Wasira, Mwakyembe, wasahau Bunge, wataliona ktk tv tu

Jnauary anachukiwa sana huko Bumbuli, kama Nape kule mtama, watu wanataka mabadiliko tu
 
Wakati ukifika watu wanajitambua na wanajua wanahitaji nini... Huu ni wakati wa ukombozi....mabadiliko ni lazima Kama tunaipenda nchi yetu Tanzania
 
Mpaka wanazimia kwenye mikutano ya lowassa!si mchezo aisee

Hilo moja lakini kuna hili la kujazana kuwasikiliza wagombea ubunge kama wanavyojaa kwenye mikutano ya chanyeghea .
 
Back
Top Bottom