CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

Chadema kina cheo cha Afisa!! Ndo afisa wa nini? Cdm iko pamoja labda kama mmesha chukua chenu mapema.

Swala la Lowasa kununua chama lilishakanushwa labda kama husomi magazeti wala huna tv.

Hivi Lowasa ana pesa kuzidi Ndesamburo au Mtei? Hawa ndo walezi wa chama sasa mbowe ana mamlaka gani aweze kuuza chama?

Cdm ni taasisi ya watanzania siyo ya mbowe.

Wengine tunaendelea na safari ya mabadiriko nyinyi ndiyo mmebaki.
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoni Tanga kimesema kuwa katika kuelekea uchaguzi mkuu wanamuunga mkono aliyekuwa Katibu Mkuu Dkt Wilbroad Slaa kwa kitendo chake cha kukaa pembeni kutokana na ujio wa Edward Lowassa na kupewa nafasi ya kuwania urais.

Sisi wanachama na viongozi wa chama chetu mkoani Tanga tunaunga mkono kwa dhana kwamba kumsimamisha Lowassa kutaathiri mwenendo wa chama chetu kwa vile ndugu Lowassa haonekani vema na jamii kutokana na matendo yake Katika serikali ya CCM.

Madai kwamba Lowassa amenunua nafasi ya Urais katika chama chetu kwa kutoa kiasi cha shilingi bilioni 10 hayajakanushwa popote hivyo na sisi tunaona ni Madai ya kweli.

Chama chetu kwa miaka kadhaa kimekuwa kikijenga kwa jamii kwa kueleza mabaya ya CCM ikiwemo suala la Katibu Mkuu kutamka majina ya watu 12 akiwemo Lowasa Kuwa siyo wasafi ni mafisadi katika list of Shame iweje leo awe mgombea wetu.

Tusitishike na mikutano kujaa watu kwani wapo vijana ambao hawana shughuli za kufanya wanapenda mikusanyiko hivyo tusijifarague kuona tunaweza kushinda na mgombea huyu ambaye kule CCM katika vigezo 13 walivyoweka hakuwa anakidhi vipi sisi tumuone anafaa?

Kwa kuwa michakato imeshafanyika kibabe na shinikizo la fedha sisi tutawapigia kura wagombea wetu wa udiwani na ubunge lakini Rais hatutampa mgombea wetu kwa kuwa hatoshi na hana sifa ya Kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwisho mwenyekiti kama una nia njema na chama kanusha suala la Lowassa kukupa fedha wewe binafsi vinginevyo huko twendako kwenye kampeni hoja hii itatumaliza na jamii iliyokuwa ikituamini kupoteza matumaini ya sisi kuwa Chama Tawala na hili tutawaumiza sana Watanzania ambao wamejenga matumaini kwa muda mrefu na sasa tumeharibu mwelekeo na matumaini yao.

Jonathan Bahweje
Afisa wa Chadema
Kanda ya Kaskazini
[/
Nyie WACHAGA kazi zenu kutukana watu humu tuuu?

Toeni hoja siyo matusi
 
Mleta mada akachunguzwe akili,eti wanachama tumeamua,mbona mimi ni mwanachama na hakuna kikiao chochote tulichokaa natukakubaliana upuuzi huu,kafie mbele.
 
Safari ya ukombozi ipo palepale, hizi kelele za vibaraka wa ccm haziwezi kuzuia ukombozi Wa pili.Huu ni mwaka Wa ukawa na kazi yetu iliyobaki ni kupiga kura na kulinda kura
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoni Tanga kimesema kuwa katika kuelekea uchaguzi mkuu wanamuunga mkono aliyekuwa Katibu Mkuu Dkt Wilbroad Slaa kwa kitendo chake cha kukaa pembeni kutokana na ujio wa Edward Lowassa na kupewa nafasi ya kuwania urais.

Sisi wanachama na viongozi wa chama chetu mkoani Tanga tunaunga mkono kwa dhana kwamba kumsimamisha Lowassa kutaathiri mwenendo wa chama chetu kwa vile ndugu Lowassa haonekani vema na jamii kutokana na matendo yake Katika serikali ya CCM.

Madai kwamba Lowassa amenunua nafasi ya Urais katika chama chetu kwa kutoa kiasi cha shilingi bilioni 10 hayajakanushwa popote hivyo na sisi tunaona ni Madai ya kweli.

Chama chetu kwa miaka kadhaa kimekuwa kikijenga kwa jamii kwa kueleza mabaya ya CCM ikiwemo suala la Katibu Mkuu kutamka majina ya watu 12 akiwemo Lowasa Kuwa siyo wasafi ni mafisadi katika list of Shame iweje leo awe mgombea wetu.

Tusitishike na mikutano kujaa watu kwani wapo vijana ambao hawana shughuli za kufanya wanapenda mikusanyiko hivyo tusijifarague kuona tunaweza kushinda na mgombea huyu ambaye kule CCM katika vigezo 13 walivyoweka hakuwa anakidhi vipi sisi tumuone anafaa?

Kwa kuwa michakato imeshafanyika kibabe na shinikizo la fedha sisi tutawapigia kura wagombea wetu wa udiwani na ubunge lakini Rais hatutampa mgombea wetu kwa kuwa hatoshi na hana sifa ya Kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwisho mwenyekiti kama una nia njema na chama kanusha suala la Lowassa kukupa fedha wewe binafsi vinginevyo huko twendako kwenye kampeni hoja hii itatumaliza na jamii iliyokuwa ikituamini kupoteza matumaini ya sisi kuwa Chama Tawala na hili tutawaumiza sana Watanzania ambao wamejenga matumaini kwa muda mrefu na sasa tumeharibu mwelekeo na matumaini yao.

Jonathan Bahweje
Afisa wa Chadema
Kanda ya Kaskazini
Kaka qa misimamo,inapendeza.japo mlipaswa kuufata uongozi wa juu kueleza.ya moyoni,kuliko kutuandikia hadharani,baweje nakukubali kati ya viongozi wa.tanga wenye misimamo wewe ni mmoja wao,
 
Mimi namsupport slaa 1000%... Supporting EL out of the blues is just mere stupidity...kama anamanufaa mazuri na chama na tz kwa ujumla,y not jst join cdm,awe mwanachama for da nxt 5yrs n if his intentions r pure,wampe fursa ya kugombea...but obviously that's not da case coz ppl only want power! Kwa mtanzania yoyote aliyekua na uchungu na taifa letu, asitetee hoja,using xcuses"politics is a dirty game" hiyo excuse inafaa itumiwe na ppl who r politicians(mps,ministers,etc) coz they have smthn(mullah) to gain so they can flip at any tym n that my frnd is where huo msemo ulitoka... But eti mimi mtanzania nilikua napinga chama na watu flani,n leo hii,nianze kuwasifia huku naimbia siasa ni mchezo mchafu ni kua mjinga tu... Tunapigania our economy, living standards etc,not misemos... Or jst coz tunataka chama flani itoke ndio tunaimba (ccm itoke,mengine baadaye) as in for real tunasemaje mengine baadaye?.. An intellect wouldn't speak lyk that. mabadiliko is choosing the right ppl and my fellow country men,it's evident bado hatutaki mabadiliko.
God help tanzania
#and another thing,watu wanaweza kuanza kutukana etc or even say mimi nipo ccm,bt i assure u sipo hiyo chama.and it's lame kujibu hoja using matusi which furthermore proves yani sisi bado tupo nyuma sanaaaa kimawazo when it comes to siasa/ communication
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom