Chadema tafute pia ushawishi wa mataifa mengine: Juhudi za Ndani ya Nchi hazitoshi-CCM wezi wa kura

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Wana JF
Juhudi za chadema za kutafuta mazingira ya haki ya kidemokrasia zinatakiwa ziwe beyond internal struggle for change. kwa kuwa taarifa mbalimbali za wasimamizi wa uchaguzi wa mwaka 2010 zinaonyesha ushaguzi haukuwa huru na haki sharti Chadema watafute ushawishi wa kimataifa na mataifa mengine ili kuishinikiza CCM na serikali yake ya Tanzania iondoe sheria mbovu za uchanguzi na za ukandamizi.

Pamoja ana jitihadi za ndani kwa njia ya mikutano ana maandamano, chadema pia wafanye ziara za nje ya nchi kama vile Uingereza, Marekani, nk. CCM korofi sana, maana hata viongozi wa maJeshi (polisi, usalama, nk) , wakuu wa wilaya na mikoa wameweka wana CCM.

Uchaguzi gani unaosimamiwa na CCM, wakati huo huo CCM inagombea? sawa sawa na mchezaji wa yanga, awe refa ktk mechi ya yanga na simba. Je simba atashinda? Huu ni mchezo mchafu. Mabilioni ya uchaguzi yanapotea bure!!!!...tunaendelea kuwa maskini daima
 
huko kote tutafika maana tunafahamika kwa harakati zetu za kidemokrasia................
 
Back
Top Bottom