Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Taarifa police wamevamia kikao kinachoendelea hapa jimbo la Manonga Tabora kikao hicho nikikao cha mashauriano na viongozi Wa majimbo kikiongozwa na viongozi wa kanda ya Magharibi Ndugu Alex Ngasa Makamu M/kiti kanda Katibu Wa Kanda Mh. Kaduma na Afisa habari Kanda.