Tengeneza vizuri Sentensi yako, iko tataCHADEMA kimekua chama cha wahaini.
Mbaya sana hii kaka. Tuna mambo mengi sana ya kufanya kama nchi ili kujikwamua kiuchumi. Kwa nini tunakimbizana na mikutano ya ndani ya vyama? NonsenseChama cha matumbili ndivyo walivyo! Udikteta uchwara mbele kwa mbele!
Mbaya sana hii kaka. Tuna mambo mengi sana ya kufanya kama nchi ili kujikwamua kiuchumi. Kwa nini tunakimbizana na mikutano ya ndani ya vyama? Nonsense
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili viwanda vizidi kujengwa inabidi kuwakanata sana wapinzaniHivi project ya viwanda imekilika jamani?
Absolutely not, especially wahuni walio signed mikataba mibovu.
Humo kichwani umejaza kinyesi cha kuku tuCHADEMA kimekua chama cha wahaini.
Wanapamba na wapinzani kwanza. Wakishamaliza lbd wataanzaHivi project ya viwanda imekilika jamani?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humo kichwani umejaza kinyesi cha kuku tu
Watakua washachelewa sana! I gekya kila kitu serikali inatekeleza kadri ya walivyoahidi, na vinaonekana vinatendeka, akina Lissu wangekosa la kuongea. Ishu ni kwamba serikalini porojo nyingi kuliko uhalisia wa kiutendajiWanapamba na wapinzani kwanza. Wakishamaliza lbd wataanza