Chadema striker.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Huyu jamaa namlinganisha na messi wa barcelona.
 

Attachments

  • TUNDU LISU.jpg
    TUNDU LISU.jpg
    28.1 KB · Views: 204
Tabora mpooooooooo,,,,,chagueni wabunge wa namna hii,,,,tanga nao ntwara ,,lindi,,,pwani,,,,achanen na vilaza,,,weka majembeshoka,,,,,yapige kazi,,,,,,,,,,,,,,,,komba,rage,,,lusinde,,,maji marefu,,,nk,nkendelea kuorodhesha,,,,wabunge walio janga la kitaifa,,,,,
 
tabola mpooooooooo,,,,,chagueni wabunge wa namna hii,,,,tanga nao ntwara ,,lindi,,,pwani,,,,achanen na vilaza,,,weka majembeshoka,,,,,yapige kazi,,,,,,,,,,,,,,,,komba,rage,,,lusinde,,,maji marefu,,,nk,nkendelea kuorodhesha,,,,wabunge walio janga la kitaifa,,,,,
matayo david matayo
 
Hivi Komba hawezi kuiga japo 0.0000000000000000000000000000001% ya Mh. Lissu? Yeye kazi yake ni kuuchapa tu Bungeni, Komba kweli mzigo kwa Taifa letu
 
Hivi Komba hawezi kuiga japo 0.0000000000000000000000000000001% ya Mh. Lissu? Yeye kazi yake ni kuuchapa tu Bungeni, Komba kweli mzigo kwa Taifa letu
Mkuu maisha ya Komba ni kulala mchana na usiku anapiga kazi. Kwa wale wanaotoka maeneo ya uchagani watakwambia hivyo. Majina mengine mkiwa mnawapa watoto wenu muwe makini, jina linawakilisha tabia ya kitu. So kulala kwake asamehewe jamani.:doh::lalala:
 
elimu ya uraia ndo wa tz imeanza kuwaingia nidhamu ya woga imewatoka kitaeleweka tu
 
watu wenye dhamira ya ukweli utawaona tu......hakuanzia CDM kwa taarifa, namjua tangu akiwa mwanaharakati
 
Nangoja siku atapoanza kuutaka ukatibu mkuu au uenyekiti wa chadema ndio utajuwa huyo ni nani na ndio siku ataanza kutengwa ki kanda, siasa za Mbowe.
 
Tundu Lissu au Antipas Mugwai, namjua tangu tukuwa JKT, ni mkabaji mzuri sana!!
Kweli akiongea naonyesha anauchungu na taifa letu, sio vilaza wa CCCM, mawazo kwenye posho tu na kuuchapa usinginzi kisha jioni haoo kwenye ufuska kama kawa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom