ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,018
- 7,222
Kiongozi mmoja wa CHADEMA amekaririwa akisema hivi:
" In any case, kwa wale wanaojua historia ya CHADEMA hawawezi kupuuza mafanikio ya Mbowe kama kiongozi. Wanaofuatilia mambo ya siasa Tanzania wanajua kwamba Mbowe kaitoa CHADEMA from a docile NGO to a respectable and winnable political party. So far sisi tunajua kwamba Mbowe amekwisha kuipeleka CHADEMA kwenye macho, masikio, akili na nyoyo za watanzania. Kinachofanyika sasa ni kuhakikisha kuwa CHADEMA inafika kwenye vidole vya watanzania ili ifikapo 2010 waweza kukunjua hivyo vidole katika sanduku la kura, na yote haya yanafanyika chini ya uongozi shupavu na imara sana wa Mhe Freeman Aikael Mbowe."
Siku zote malalamiko yaliyokuwepo juu ya CHADEMA kuendeshwa kama chama cha watu binafsi kumbe yana ukweli. Ili iaminike kuwa CHADEMA sio NGO tena basi ni LAZIMA itoke kabisa nje ya influence ya yule aliyeanzihsa hiyo "NGO" ambaye ni mkwe wake Mbowe.Iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi influece ya baba mkwe Mtei haitaondoka na CHADEMA itaendelea kuwa "NGO"
.chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi
Hivi vilianza kama NGO?..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.
..chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi.
..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.
..hivi Mzee Mtei ana influence gani huko Chadema? mbona Mwalimu Nyerere ambaye ameshafariki bado ana influence ndani ya CCM? majuzi nimeona wamezuru kaburi la Baba waTaifa kabla ya kuanza mkutano wa NEC!!

Tena macho ma4 si unajua ukipiga pentagon....Zagorakis guess what, my computer has eyes. It has seen something. Lakini endelea kuenjoy uhuru wako.
..chama chochote kile cha siasa kinaanza na watu wachache na baadaye kutanuka na kuwafikia wananchi walio wengi.
..hata TANU, ASP,AFRO-SHIRAZI,CUF,NCCR,....ukivichunguza unaweza kukuta mwanzo wake hautofautiani sana na ule wa CHADEMA.
..hivi Mzee Mtei ana influence gani huko Chadema? mbona Mwalimu Nyerere ambaye ameshafariki bado ana influence ndani ya CCM? majuzi nimeona wamezuru kaburi la Baba waTaifa kabla ya kuanza mkutano wa NEC!!
Tena macho ma4 si unajua ukipiga pentagon....
Pitia tena historia ya hivyo vyama Jokakuu.
Wakati CHADEMA inataka kubadilika toka kuwa NGO kuelekea kwenye Political party ilibidi kwanza wabadilishe katiba, Lini limefanyika jambo hilo? Au katiba ya NGO inaweza kutumiwa na political party halafu kila kitu kikawa Ok?
Tukisema kuna vyama feki tunaonekana wapinga demokrasia, kumbe sisi ndio tunaitetea demokrasia kwa kuwafumbua macho wale wanaofuata fuata blindly.
Nakupata vilivyo hapo,kama wana Chadema wenyewe wamekiri kuwa ilianza hivyo basi kuna ulakini hapo.Na kama wanatumia katiba ya Nothing Going On(NGo) basi kweli jamaa ni feki hawa nathubutu kusema hivyo.Pitia tena historia ya hivyo vyama Jokakuu.
Wakati CHADEMA inataka kubadilika toka kuwa NGO kuelekea kwenye Political party ilibidi kwanza wabadilishe katiba, Lini limefanyika jambo hilo? Au katiba ya NGO inaweza kutumiwa na political party halafu kila kitu kikawa Ok?
Tukisema kuna vyama feki tunaonekana wapinga demokrasia, kumbe sisi ndio tunaitetea demokrasia kwa kuwafumbua macho wale wanaofuata fuata blindly.
kadaMpinzani,
..mimi naona kama una-make a big deal out of nothing.
..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.
..ninavyokumbuka mimi ni kwamba Mbowe alichaguliwa na vikao vya chama kuwa Mwenyekiti. kama unataarifa ambazo ni kinyume na hivyo unaweza kutuwekea hapa.
..Mwalimu Nyerere bado ana influence ndani ya CCM lakini wewe huoni tatizo. kabla ya kikao cha Butiama wajumbe wa CCM-NEC walizuru kaburi la Nyerere. hivi kaburi hilo lina mahusiano gani na vikao, sera, na maamuzi ya chama?
NB:
..masuala ya kina Mbowe na Mtei ni mambo madogo-madogo mno.
..bora ungejielekeza ktk kujadili/kulipinga pendekezo la Chadema kuhusu Majimbo.
Nakupata vilivyo hapo,kama wana Chadema wenyewe wamekiri kuwa ilianza hivyo basi kuna ulakini hapo.Na kama wanatumia katiba ya Nothing Going On(NGo) basi kweli jamaa ni feki hawa nathubutu kusema hivyo.
Kuna watu wanafata Mkumbokrasia
[B said:jokaKuu[/B];215011]
..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.
QUOTE]
Sawa, hivi ndivyo ulivyomsoma wewe. Lakini kwa vile yeye ni mwana JF tena sasa hivi yuko online, basi cha msingi zaidi ni yeye mwenyewe kutoa maelezo sio kila mtu aanze kuspeculate maana yake!!!
[B said:jokaKuu[/B];215011]
..nilivyomsoma Kitila nadhani ameteleza tu katika kujieleza.
QUOTE]
Sawa, hivi ndivyo ulivyomsoma wewe. Lakini kwa vile yeye mwana JF tena sasa hivi yuko online, basi cha msingi zaidi ni yeye mwenyewe kutoa maelezo sio kila mtu aanze kuspeculate maana yake!!!
Kwa uchokozi, nitamuuliza Irene Mark hili swali (yule mwandishi wa freemedia ama tanzania daima la mbowe) pamoja na yule hellen katabazi sijui !
Mzee unajua kitila mkumbo ni mtu makini sana humu ndani i have to acknowledge that na ndio maana naamini kasema kitu cha ukweli na anachokijua kwamba chadema was a docile NGO !