Chadema siyo pango la wanyang'anyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema siyo pango la wanyang'anyi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Teh Teh Teh, Nov 13, 2009.

 1. T

  Teh Teh Teh Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA SIYO PANGO LA WANYANG'ANYI.

  CHADEMA siku zote huchukua hatua!

  Ilimsimamisha Chacha Wangwe alipokuwa akitumika, au kutumia vibaya madaraka yake kubomoa Chama akiwa ni Makamu Mwenyekiti - TAIFA.

  Jopo la Wazee ilimshauri Zitto kidemokrasia kuondoa fomu yake, kwani CHAMA kisingeweza kuhimili ushindani wa WATU WAKUBWA kugombea nafasi moja. CHAMA KINGEPATA NYUFA. Busara ilitumika.

  Wale wote wasaliti katika safari ya nchi ya ahadi, lazima waondolewe kwenye Chama au kwenye nafasi zao! Maafisa wawili hao kuondolewa ni hatua za kuigwa!!

  Chama kipo makini sana! Hatutaki kuingia Ikulu tukiwa wachafu tusije tukaitia unajisi Sinagogi! (Ikulu ya watanzania).

  Jicho la CHADEMA huangaza mahali pote kwa Tembo hata sisimizi! Chachu moja huchachua donge zima! Tunajenga kuta imara ili kuzuia nyufa siku za usoni!

  CCM wao wanaogopa kuchukua hatua!!!!! Iacheni Chadema ichukue Hatua!!
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  Teh Teh Teh Teh
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Karibu sana JF Teh Teh Teh. Lakini cheka kwa taratibu.
   
 4. T

  Teh Teh Teh Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jasusi!!
  Sicheki taratibu!! Nacheka kwa staha!!!
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  tatizo la CHADEMA ni UKABILA na UDINI. Ondoeni hayo muweze kusurvive
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  wewe nani kakwambia hatusurvive, ujinga wa mawazo, wakati mwingine ni ubutu wa kuikiri hata propaganda ndogo Za CCM , shauri yako, utangoja wee CHADEMA ipasuke , aah wapi, tunajiandaa na UCHAGUZI MKUU MWAKANI, tukiwa tumewang'oa vibaraka, watoa siri, wasio majasiri, waleta fitina na majungu.
  CHADEMA haivumilii ujinga-ujinga, majungu na ushenzi mwingine.
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Japo siwapendi CCM sijawahi kuwapigia kura since multi party system, lakini vilevile huko chadema Nani mgombea urais ndugu?? akiwa Slaa (former priest) kama muislam nitakuwa very skeptical na yeye unless a-prove beyond reasonable dought kwamba hatumikia kanisa bali taifa..akiwa mbowe mmetuangusha kwasababu he is below standard by all means the most he can do "awe kamanda wa vijana wa chadema finito" siyo rais (lol)...
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Nov 14, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  mchekaji

  nataka kuingia chadema, mipango yangu ninataka kuwa rais wa inchi hii, ebu nieleze ni kwa namna gani chadema inaweza ikatimiza ndoto zangu.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wewe ndio una udini..but Teh Teh amesema vyema kuwa CHADEMA sio pango la wanyang'anyi na hawaangalii sura wala status ya mtu katika kufanya maamuzi ...tazama CCM wanavyoshindwa kufanya maamuzi mazito simply kwa kuwa wanataka kulindani..hahaaaaa well done CHADEMA....
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mkuu Tumain ...usihofu utampigia kura Profesa Ibrahim Haruna Lipumba maana yeye ni muislam na for sure hautakuwa skeptical.huhitaji kuumiza kichwa kumfikiria slaa
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Huyu ni kibaraka wa Kanisa. na hata data zoooote alizonazo anapewa na KANISA.

  hana jipya ni mnafiki tu na anaeiharibu CHADEMA.
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hivi makao makuu ya Chadema yapo wapi? Moshi au Vatican?
   
 13. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2009
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kigogo wacha kunivunja mbavu!!

  Hii ni dalili tu ya maelezo kwamba huku jukwaani tunatofautiana sana kimtazamo, kiuchambuzi na kiupembuzi.
  Tehe tehe tehe tehe taha taha taha.
  Mkuu Tumaini upo hapo
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Content za Post zako nyingi ni!

  1: Vatican
  2: Ukatoliki
  3: Chagga
  4: Kilimanjaro
  5: Moshi
  6: Pengo

  Yaani wewe Udini ni Ukatoliki na Ukabila ni Uchaga


  Yaani Dr. Barubaru leo ukipewa huu Mtihani

  Eleza maana ya maneno yafuatayo

  1: Ukabila
  2: Udini

  Hakika utafeli, sijui ni Dr. wa nini may be Tunguli
   
 15. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2009
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii kali!!!

  Yatakuwa Vatican kama hiki ni chama cha Kikatoliki
  Yatakuwa Moshi kama ni chama cha Wachagga.

  Lakini kwa taarifa tu Makao Makuu ya CHADEMA yako mtaa wa Ufipa wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam. Chadema sasa ina ofisi mikoa yote ya bara na zaidi ya nusu ya visiwani. Zaidi ya 70% ya wilaya za Tanzania zina ofisi za CHADEMA.

  Karibuni kujadili
   
Loading...