Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,382
Basi sawaCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Wala cdm kwa taarifa yako hawajivunii kuwa chama kikuu cha upinzani. Naona umeongea kama vile wanaona ni bonge la ufahari. Cdm wanataka kuwa chama tawala, ww unaongelea chama kikuu cha upinzani kama ni sifa sana!CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Kwa hiki ulichokiandika hapo juu nikisema hauna akili nitakuwa nimekosea?Kwa Hiki Ulichokiandika Hapa, Nikisema Hauna Akili Nitakua Nimekosea?
Msijigambe .CHAUMMA 2 CHADEMA 0.Mmekosa viongozi wenye diraWala cdm kwa taarifa yako hawajivunii kuwa chama kikuu cha upinzani. Naona umeongea kama vile wanaona ni bonge la ufahari. Cdm wanataka kuwa chama tawala, ww unaongelea chama kikuu cha upinzani kama ni sifa sana!
Ila hawa covid kuna baadhi wanavutia kulaCHADEMA kina wabunge 19 wa viti maalum na mbunge mmoja kule Nkasi View attachment 3343298
Utamkumbuka shujaa wa Afrika ambae ulikuwa ukimuita dhalimuWala cdm kwa taarifa yako hawajivunii kuwa chama kikuu cha upinzani. Naona umeongea kama vile wanaona ni bonge la ufahari. Cdm wanataka kuwa chama tawala, ww unaongelea chama kikuu cha upinzani kama ni sifa sana!
CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Kwani nani amebisha sasa? saizi CHAUMA ndio chama kikuu cha upinzaniCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Uchaguzi huru na WA haki ni Hadi chama CHAKO kishinde?Lete uchaguzi wa huru na haki
Hapo ndio utajua,
Ni jambo la kushangaza,wanajiita chama kikuu cha upinzani,wakati mwenyekiti wao ,hajawahi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi,wakati ACT wazelendo,mwenyekiti wao ni makamo wa Rais,na hata mwenyekiti Seif Hamad,alikuwa pia makamu ya RaisCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi