Chadema sio chama sahihi cha mabaliko

Chadema sio chama sahihi cha mabaliko

Hahaha kiwaya, unafurahisha sana(if you are kidding) and unasikitisha sana(if you are serious)

-Yaani mtu akisema kuwa CHADEMA ni chama kinachoweza kutufikisha kwenye mabadiliko tunayoyataka, ni mwanachama wa CHADEMA, halafu with that unasema una upeo wa kufikiri, SERIOUSLY?
 
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho kinawatumia vijana kwa kuwapotosha ni si kuwajenga kupambana na Changamoto! Juzi tu Jijini Mwanza tumeona Mbunge wa CDM akitoa pesa ya kuandika mabango na kununua viroba ili wamzomee Waziri mkuu wa Tanzania kwel Chama hiki sio Sahii kwa madiliko! Viongoz wajuu wa CDM ndio chanzo kikuu cha kuanzisha vulugu na fujo ukiaangalia Arusha Katibu mkuu wa CDM Dr Wilboard SLaa anawashawishi wananchi wakavamia kituo Cha Polsi huyu kiongoz alikuwa hana nia nzur, pia Kiongoz huyu Alitamka maneno haya km CDM haita shinda nchi haita karika anamaana alikuwa tayar kuingia mstuni hii ina maana yeye ni Kiongoz asiyekubari kushindwa! Pia ni kiongoz mwenye uruho na madaraka na sio kuwakomboa watanzania! Ni wabunge wa CDM ndio waliongoz Bungen kutomtambua Rais hii inamaanisha wanakataa maamuz ya wananchi wa Tanzania walipoamua kumpa Ridhaa kuwa Rais, Wabunge wa CDM ndio waliokuwa mstari wa mbele kupinga posho, mishahara na magari ya kifahar ya wabunge ila hii wanatembelea Magari yale yale Kifahar na posho na mishahara wanapokea km kweli walikuwa na nia nzuri kwanin pesa hizo wasipokee na kuzileta kwenye shughuli za maendeleo! Watanzania ni muda muafaka sasa wa kutafakar kwa kina sio Tudananywe na maneno, VIJANA TUNAITAJI MABADILIKO KAMWE CHADEMA SIO CHAGUO SASA KWETU

No sense, nenda karekodi upya ili tuweze kuona picha na kusikia sauti. maana tunaona chenga na kusikia sauti ya kukoroma.

kumbuka no research no right to speak
 
Hahaha kiwaya, unafurahisha sana(if you are kidding) and unasikitisha sana(if you are serious)

-Yaani mtu akisema kuwa CHADEMA ni chama kinachoweza kutufikisha kwenye mabadiliko tunayoyataka, ni mwanachama wa CHADEMA, halafu with that unasema una upeo wa kufikiri, SERIOUSLY?

Nimefurahi sana kuona huna ulichonacho kuhusu hicho unachokisimamia! Nashukuru kunidhihirishia dhahiri kwamba nilichokiandika umekikubali! Sasa ni muda wa mimi na wewe sasa kuwaambia watu ukweli, kwamba hata wewe uliyekuwa unadhani ndicho chombo kitakachotupa mabadiliko hukijui kabisa!
 
Kiwaya, Huo ni wako mtazamo tu mkuu, just b'se am mute/quiet doesnt mean you are right...i didnt say a word bse i found nothing out of it that make sense, and i believe am not the only one(refer to how many people have commented POSITIVELY) in your thread!

Again, if you cant know how to organize yourself and put your ideas into writings, why dont you sit back to watch and learn?..and dont generalise, almost everything you post/talk you generalize( to generalize is to be an idiot)..so unless you are, stop it.
 
No sense, nenda karekodi upya ili tuweze kuona picha na kusikia sauti. maana tunaona chenga na kusikia sauti ya kukoroma.

kumbuka no research no right to speak

nimependa ulichokiandika unaonekana umetaka kuandika jambo ila ukaguundua hujui chochote ila kuna watu unawafuata kwa kuzani wana nafasi kubwa katika maamuzi yako! Badilika amini unachokifikiria kwani ndicho sahihi
 
Kiwaya, Huo ni wako mtazamo tu mkuu, just b'se am mute/quiet doesnt mean you are right...i didnt say a word bse i found nothing out of it that make sense, and i believe am not the only one(refer to how many people have commented POSITIVELY) in your thread!

Again, if you cant know how to organize yourself and put your ideas into writings, why dont you sit back to watch and learn?..and dont generalise, almost everything you post/talk you generalize( to generalize is to be an idiot)..so unless you are, stop it.

Wengi humu ndani wamenyeshwa sumu ndio mana wameshindwa kutafakari bali wakakurupuka! Tambua mtu mweshe msimamo hateteleki ila ukiona anaonyesha jazba, anatoa matusi, na kejeri pale anapoambiwa ukweli ujue hana msimamo na hajui msimamo wake uko wapi au hajui anachokisimamia!
 
Najua kuwa vijana wengi hapa tz akili zao sio madhubuti katika ubunifu ndio maana wengi katika vyuo hua wanafanyiwa research na projects ili kuhitimu masomo yao. Tatizo hili ndio linalosababisha vijana kutekwa kimawazo na watu wengine coz wao hawezi kufikiri, hivi unategemea kijana aliyefanyiwa project au research anaweza kuleta ubunifu wa kimaendeleo kwaku ng'ang'ania CDM? KIJANA BADILIKA HAPA TATIZO SIO CHAMA TATIZO NANI ATAONGOZA NCHI? SAMAHANI KWA GRADUATES MLIOFANYIWA RESEARCH AU PROJECTS.
 
Nadhani si kila pumba ni za kupembua, nyingine ni za kumwaga tu!

Sent from my LT26i using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom