CDM haina maana ni genge tu lililo jificha ndani ya chama cha siasa ili kupiga ruzuku a.k.a kodi za watanzania. Ni adui wa maendeleo
Ccm sasa ina zaidi ya miaka 58 kwenye utawala ni jambo gani jema iliyowatendea watanzania zaidi ya kujineemesha wao?
Leo hii umasikini umetamalaki
Leo hii uchumi umeshuka hadi 4% kwa mujibu wa IMF
Leo hii watu wamefunga biashara kwa kufiriaika kisa ccm!
Huyo huyo lowasa aliporudi ccm akapokewa kama dream liner kwa shangwe na vigeregereHii nchi inahitaji chama kipya chenye dira mpya, viongozi wapya, sera mpya sio hawa wakina mbowe, Lema, Zitto, Lissu wachumia tumbo. Binafsi sina imani na CHADEMA tena baada ya lile tukio la Lowassa kuja chamani akapokelewa kama mwana mpotevu. Naungana na ma CCM kishingo upande ila chama kipya ni muhimu ili kubadilisha utawala.
Anzisha hicho chama kipya uone kazi ilivyo!Hii nchi inahitaji chama kipya chenye dira mpya, viongozi wapya, sera mpya sio hawa wakina mbowe, Lema, Zitto, Lissu wachumia tumbo. Binafsi sina imani na CHADEMA tena baada ya lile tukio la Lowassa kuja chamani akapokelewa kama mwana mpotevu. Naungana na ma CCM kishingo upande ila chama kipya ni muhimu ili kubadilisha utawala.
Kuna kazi kubwa ya kujenga ipinzani walio wengi sioni kama wana nia njema vyama hivyo maana havikui.Na ndio maana sidhangai kuona vyama havina ofisi zao zimepanga au kupewa mtu anapoingia matatani anachukua mali ake. Kwa nini kusiwe na mpanho maalum wa vyama hivi kujiwekeza
Inajalisha sana. CCM walipokuwa na umri wa CHADEMA walikuwa na makao makuu yamejengwa kila mkoa uliokuwepo. Inabidi wanchama wa kila mkoa na wilaya wa vyama kujenga ofisi zao sio za kupangisha au za kupewa. Waulize TLP na za pale Argentina Ma zesse walvyotolewa mkuku shauri ya hayo na TUMBOHaijalishi kinachotakiwa ni ofisi za cdm
Inajalisha sana. CCM walipokuwa na umri wa CHADEMA walikuwa na makao makuu yamejengwa kila mkoa uliokuwepo. Inabidi wanchama wa kila mkoa na wilaya wa vyama kujenga ofisi zao sio za kupangisha au za kupewa. Waulize TLP na za pale Argentina Ma zesse walvyotolewa mkuku shauri ya hayo na TUMBO
Umeni kumbusha miaka hiyo nililala guest mwanza , lile gesti maarufu wakati huo likiitwa shinyanga ililazimu kulipia gesti na pia za ujenzi wa uwanja wa nyamagana. Kweli tulichangia wananchi wote ila sasa hatukuelezwa ni waa chama au la. Hata wa singida. Kudai ni mambo mfu tujenge vipya kwa maendeleo. VILIVYOKUWA HAVIJAKAMILIKA BAADA YA VYAMA VINGI VINAENDELEAJE? NDIO KUSEMA TENA WANCHAMA WA KILA CHAMA WAENDELEZE WENYEWE MAANA HUWEZI KULAZIMISHA KILA MTU KUCHANGIA.Kwa taarifa yako ccm haina jengo lake hata moja maana majengo yote yalijengwa kwa nguvu za watanzania kipindi kile cha chama kimoja na wakati unakuja wananchi tutadai majengo yetu
Umeni kumbusha miaka hiyo nililala guest mwanza , lile gesti maarufu wakati huo likiitwa shinyanga ililazimu kulipia gesti na pia za ujenzi wa uwanja wa nyamagana. Kweli tulichangia wananchi wote ila sasa hatukuelezwa ni waa chama au la. Hata wa singida. Kudai ni mambo mfu tujenge vipya kwa maendeleo. VILIVYOKUWA HAVIJAKAMILIKA BAADA YA VYAMA VINGI VINAENDELEAJE? NDIO KUSEMA TENA WANCHAMA WA KILA CHAMA WAENDELEZE WENYEWE MAANA HUWEZI KULAZIMISHA KILA MTU KUCHANGIA.
Kuwe na msingi imara ya kurndesha vyama sio chama kiwe cha mtuHata ccm yenyewe haina mali zake yenyewe maana mali zote ilizo jimilikisha ni kutokana na nguvu za watanzania walipo kuwa na chama kimoja
Tulijitolea kufyatua matofari na kuchimba misingi lkn baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi ccm wakajimilikisha nguvu za watanzania huo ni wizi
mtanzania mwenye nia njema na siasa imara za vyamaWewe ndiye msajiri wa vyama vya siasa?
Yale mabasi mliyopewa huko Ulaya yameishia wapi mkuu? Au Tundu Lissu ameshayamiliki?!Tuna tumia mbinu za medani ( mm )
Kwa waliopitia jeshi wataelewa
Mbona ulileta hapa JF?Mali za cdm zinawahusu wana cdm na wewe ccm kafuatilie mambo ya ccm yenu