Chadema Singida yapata mjengo wao

Asante sana mkuu kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kupongeza panapo stahili badala ya kuponda kisa ni upinzani
Hongereni Wapinzani wetu Chadema msikate tamaa kwani wanachama mnao wanaoziishi Itikadi ya Chama chenu.
Hongereni sana
 
Ni maandalizi ya kurejea kwa Lissu. Nahisi ndio patakuwa HQ baada ya Lissu kuchukua nafasi ya Uenyekiti wa Chama chetu.
Hiyo haisumbui kwa cdm yeyote anaweza akawa kiongozi
 
Kwa sasa ni ..mm..
 
Mapenzi ya chama yapo moyoni siyo kujitangaza kwenye magazeti na Tv na kulazimishwa kuvaa kijani
 
Hongereni Wapinzani wetu Chadema msikate tamaa kwani wanachama mnao wanaoziishi Itikadi ya Chama chenu.
Hongereni sana
Mku kumbuka Itikadi inamaliza kero zote kwa hiyo wanachema wanaoziishi Itikadi Chadema kikitangazo kuchangia ujenzi za nyumba za chama zitajengwa Nchi nzima bila tatizo lolote Itikadi ndio kila kitu.
Hata chama changu ccm nyumba zote ni wanachama walijenga sio chama kwa hiyo kejeli ktk mambo ya Itikadi hazina nafasi kwenye ujenzi wa chama na kumbuka chadema sio chama cha msimu tena ni chama ambacho kipo ktk ngazi zote kwa hiyo kiko vizuri hakijaamua tuu kuhamasisha wanachama kwa ajili ujenzi .
 
Ubarikiwe sana mkuu kwa comment ya kizalendo
 
Ufipa bana, hako kajengo tunakuja kukapiga xx mmejenga eneo la hifadhi ya nyumbu.
 
Ikishakuwa hivyo wewe utafaidika kitu gani maishani mwako?
Au ndiyo itaipandisha thamani sh ya Tanzania dhidi ya dola ya marekani?

CDM haina maana ni genge tu lililo jificha ndani ya chama cha siasa ili kupiga ruzuku a.k.a kodi za watanzania. Ni adui wa maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…