CHADEMA si Legelege-Dr Slaa

kwa mtu mzima kama mrema kudanganya watu ni mambo ya ajabu sana kwenye hii dunia huu uongo unamwisho wake.
 
Na bado kazi mnayo safari hii mtakuja na kila haina ya propaganda lakini jua limeishazama.
 
You are retarded then, because your level of communication is of Bavicha standards...

Oh really? Didn't know that am retarded just for being 52 years! I wonder whoever is leading this nation is of what age......and you know what he could be retarded going by what you said!
 

Mkuu unasoma gazeti la Uhuru na Mzalendo unafikiri yanamtakia mema Dr. Slaa? angalia nyomi hiyo
 


Kaka Mtoi,

hiyo ndio propaganda, tatizo Kubwa lipo Chadema Kwamba mpaka wa leo hawana chombo chochote rasmi cha kusimamia habari Zao, hivi mpaka leo Chadema imeshindwa kufungua hata Gazeti lake tukiacha TV na Radio?

Jana Mkutanao wa Slaa kule Kahama, TUMTEMEKE kaingia mapema humu kufanya Damage, Nadhani Chadema mnapaswakuimarisha kitengo cha propaganda
 
Wewe ni SIFURI usiyeelewa maana ya photoshop.

Basi amini na zile picha za Lema zilizosambazwa mitandaoni.

Acha kudanganya watu Mimi nipo hapa Kahama na jana nilikuwepo eneo la mkutano tena basi na kaa jirani hapa ukitaka picha zingine nitatuma leo umeumbuka mzee wa buku 7.
 

oh really? Didn't know that am retarded just for being 52 years! I wonder whoever is leading this nation is of what age......and you know what he could be retarded going by what you said!

hahahaaa... Inamaana prezida wake anamtukana bila kujijua.. Kweli magamba akili zao fupi
 
Maccm mumeanza kubanwa tayari, goli moja tayari
 
Duh? Kazi ipo! Maamuzi ya leo ndo matokeo ya kesho, "Bahati Bukuku song" kama tusipoangalia, Matokeo ya maamuzi ya juzi yatakuwa kitanda cha mauti ya CDM sababu tu ya kuamua based on personal interests and not on Party and State interests!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Njia ya kujaza mikutano ya CCM hii hapa!! - Unapewa Kofia, Tshet, Khanga na Buku Kumi juu.

 

Ukweli utajulikana tu sasa kwa nini Ben anaeneza uongo wa tz daima.. Mimi nilishaongea sana watafute suluhu na Zitto mzimu wake utakiumbisha chama
 
Nimezungumza n jamaa zangunwengi tu wa kahama mbao tunashirikiana nao kwenye masuala ya kazi na hasa za madini,wanasema kwa sasa chadema haina nguvu tena na jna hali ilikuwa tete kwa slaa na alizomewa!!!
 
Picha hizi hapa, waweke za kwao basi hizo za kuzomea na mabango. Wakimbie haraka photo shop kufanya hiyo kazi. Wamefanya kwenye stori wanashindwa nini kwenye picha!



Kamanda hawa viwavi ni wakuwahurumia tu,

ukweli huwa hauishi kapu moja na uongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…