ExactlySilaa alishaondoka na chadema yake Mkuu saivi ni kilinge cha malapulapu
Haya bhanaNyinyi ndo wale wanaowashwa washwa?
Kama mmegundua kuna propaganda nyingi sana za kitoto zinaendelea humu jukwaani. Kuna viumbe wameanza kuja na ishu za shati sio la Lisu yani ilimradi tu kupotosha uma.
Hapo Lisu kaamka na kuongea maneno machache tu watu wanaanza kutafutana. Sasa akitoa story yote sijui itakuaje. Ninachoamini Lisu sio mjinga gari imfwatilie kwa muda mrefu hivyo bila kufahamu nani ana-coordinate hilo zoezi. Naamini akifunguka yote nchi itasimama.
Tumuombee kamanda Lisu apone haraka atueleze story yote ilivyokua.
Zaidi ya yote nawasifu chadema kwa kwenda na dereva Kenya otherwise wangeweza kumuua au kumbana abadili story.
Ndo kwaanza movie imeanza,tusubiri kuna episode za kutosha zinatusubiri kuangalia.
Duhh....Ukiona kimya ujue bado wanatafuta maana baada ya kumkosa Dodoma wameamua kumfuata NRB
Uhuru amejipanga sana..Hawezi kuruhusu upuuzi ufanyike ndani ya nchi yakeUkiona kimya ujue bado wanatafuta maana baada ya kumkosa Dodoma wameamua kumfuata NRB
Hapo unadanganya, hukuwahi kuipenda CDM, kama uliipenda vibaya mno maana yake uliichukia sana.Mimi nilikuwa naipenda sana chadema vibaya mno kwa enzi hizo. Lakini baada ya mwenyekiti Freeman mbowe kutusariti na kumchukua lowasa aisee niwe wazi siipendi tena chadema.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha matamko na matukioNaikumbuka chadema ya kina silaa na Zitto ilikuwa makini Sana tofauti na ya Leo yakina mashinji imekuwa chadema ya hovyo Sana hata hawaeleweki wanasimia nini. Kimekuwa Chama cha matamko ya ajabu ajabu wamekuwa Chama cha kutumia madiaspora kutukana serikali nasikitika. Sana kuona chadema iliyopoteza dira
Hata mimi aisee. Kwa sasa nimeamua kuiponda hii Chadema ya sasa kadri niwezavyo. Ewe Mungu nisaidie.Mimi nilikuwa naipenda sana chadema vibaya mno kwa enzi hizo. Lakini baada ya mwenyekiti Freeman mbowe kutusariti na kumchukua lowasa aisee niwe wazi siipendi tena chadema.
#nakwenda_zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako bize balaa kwenye mitandao kupotosha umaHawa mashost watatu wanapaswa kuchunguzwa
Amin amin nakwambia mimi nilikuwa mfuasi mzuri wa chadema enzi za akina zito, slaa nk lkn chadema ya sasa hovyo kabisa.Hapo unadanganya, hukuwahi kuipenda CDM, kama uliipenda vibaya mno maana yake uliichukia sana.
Nakutakia safari njema ya Zimbabwe!