Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Maswali yako yanaonyesha kuwa wewe ni mshirika ni mjumbe au ni mmoja wa wanachedema ambaye unahudhuria vikao,naweza kuuliza swali kama haya yote uliyaona kwenye vikao vyenu kwamba Dr slaa na Tundu Lissu ndio walikuwa wanashinikiza baadhi ya maamuzi ndani ya chama au kwa wabunge sasa kwa nini hamkuyamaliza kwenye vikao vyenu badala ya kuleta kwenye jamvi lakini kama huhudhurii vikao vya wanachadema ni kwa vipi utatuthibitishia kwamba unachofanya si damage control ili kumsave rafiki yako Zitto aliyepoteza heshima kwa ajili ya undumila kuwili kwa kwa sababu ya kwenda kinyume na makubaliano ya wabunge wote ambapo hata yeye alikubaliana nayo
si ni huyu anayekusimulia hatua zote zilivyokuwa kwenye hivyo vikao nawewe unamwaga hapa kwa njia ya maswali ukweli unabaki pale kwmba rafiki yako Zitto na nilikuomba siku nyingine umwambie hawafanyii viongozi uharibifu bali hata chama chake na sisi wafuasi wao tunnathirika kwa jinsi Zitto anavyotaka kujisafisha kupitia watu kama wewe
hivi kama wewe tu ambaye hata dr slaa hakujui unajua kama kesi ilikuwa withdrawn baada ya uchaguzi, yeye dr slaa akisema hajui kesi ilipoishia/au hajui jibu la muuliza swali kuwa iliishaje, mtu mwenye akili atasemaje?
Umedandia boti lisilo kuhusu soma vizuri na soma posti ya niliyekuwa na mjibu mimi ni mwanamke ambaye tutapigana mboko tu kwa mtaji wako wa kukurupukaZitto is another mada, wacha kuchanganya stick to what is on the topic, mambo ya Zitto yanaendelea kujadiliwa, sasa unataka Dr Slaa ajibu maswala wanayoongea na Zitto? ili iwaje? nyie wanadamu bana Dr. Slaa ana heshima kubwa kuja hapa na kujibu maswali kiuwazi na kusema
almost mswali ya msingi alioulizwa, ww unaliza Zitto, mm ni mtu wa hasira kidogo hata ww kama ni mwanamke nitakuchapa mboko, Dr slaa ajibu watu wangapi? use common sense, plse respect
don't use freedom of expression as a reason/ guard kuuliza hata ukoko, Zitto hatutaki mada zake tena hadi wazee wamshughulikie, period
Umedandia boti lisilo kuhusu soma vizuri na soma posti ya niliyekuwa na mjibu mimi ni mwanamke ambaye tutapigana mboko tu kwa mtaji wako wa kukurupuka
Dar-Es-Salaam,
Nashukuru sana. Kesi ya kumpoka mtu mke? Nadhani ni vema wakaulizwa walioianzisha. Mimi sawa na wewe sijui ilikoenda. Ukifanikiwa kujua nijulishe ili nami nijue ilikoenda au ilikoishia baada ya uchaguzi.
Dar-Es-Salaam,
Nashukuru sana. Kesi ya kumpoka mtu mke? Nadhani ni vema wakaulizwa walioianzisha. Mimi sawa na wewe sijui ilikoenda. Ukifanikiwa kujua nijulishe ili nami nijue ilikoenda au ilikoishia baada ya uchaguzi.
naona aibu kukuita muongo kwa sababu wewe ni mtu mzima mwenzangu, lakini hii haiwezekani kwa sababu najua taarifa za maendeleo ya kesi hii wanazo wa wanasheria wako ambao ni watu mnaokutana nao mara kwa mara, mambo ya uchaguzi yamekwisha ni bora ungeomba usiulizwe masuala ya kesi hii kuliko kudanganya kwani hata uongo mdogo kwa heshima yako na watu wanaokuamini inakuwa kwenye mashaka.
ZeMarcopolo,
Narudia tena, hakuna mahali popote Chadema imebadili msimamo wake na kusema kuwa Kura hazijaibiwa au kuchakachuliwa. Taarifa niliyotoa jana kwa TBC ilieleza wazi kuwa Kamati Kuu, ilipokea na kujadili na kuridhia mapendekezo yote yaliyowasilishwa na Sekretariat ya Chama kuwa Chadema imekataa matokeo ya Uchaguzi kutokana na irregularities 15. Chadema inaamini kuwa iwapo Katiba ya nchi isingelikuwa imezuia kuhoji matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Rais mahakamani, matokeo hayo yangeliweza kubatilishwa. Kwa vile Katiba inakataza kuhoji matokeo kuhojiwa mahakamani, basi japo Kikwete's Presidency ni Lawful it is Illegitimate. Chadema ilitumia maneno ya kiingereza kuonyesha tofuati kubwa kati ya maneno hayo mawili. Huo ndio msimamo wa Chadema toka mwanzo na haijawahi kuyumba, japo maneno ya kiswahili yamekuwa yakipewa tafsiri tofauti na watu mbalimbali. Ni kwa msingi huo, Kamati Kuu ikasisitiza " Kuundwa kwa Tume Huru" kuchunguza Dosari " Irregularities" hizo kubwa katika uchaguzi. Nasisitiza, Chadema ni Chama ambacho toka mwanzo ilisisitiza kuwa "Haiko Tayari kuingia Ikulu kwa kumwaga Damu ya Watanzania". Inawezekana wanaopenda na kufurahia vurugu, Chadema haiko tayari kwa hali hiyo. Tunasukumwa sana na wapenzi na wanachame wetu kutoka mitaani na kuandamana, na ndicho pia wanachotaka ndugu zetu akina Mwanakijiji. Maandamano, (ya amani au ya kushinikiza), kwa watu wanaojua mchakato wa demokrasia ni hatua ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kushindikana. Pili, ili Tanzania isiingie katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015 kwa Katiba na Sheria mbovu kama tuliyonayo leo, Chadema inasisitiza upatikanaji wa Katiba mpya, Shirikishi na ya Wananchi.Upatakanaji wa Katiba hii utakuwa na mchakato, na kama Serikali haitaki, basi Chadema kwa kushirikiana na wadau na watu mbalimbali wakiwemo wananchi itatutumia njia zote zinazoweza kuipatia nchi Katiba ya Wananchi. Yote haya ni mchakato, na kwa mtu yeyote anayoamini kuwa mchakato huchukua muda, basi atakuwa mvumilivu. Hakuna sababu ya kutumia lugha kali, kukashifiana na kutukanana japo jamvi letu ni mahali ambapo "we dare to speak". Tukivumiliana na kuheshimiana tutafika salama bandarini. Tukikurupuka tunaweza pia tusifikie lengo tunalotaka. Hekima na busara vikitawala na kuongoza matunda yatakuwa mazuri kwa Taifa letu. Taifa ni letu tukiibomoa hatuna pengine pa kwenda, labda tukiamua kulowea penginepo. Tukikurupuka tunaweza kuwaumiza wanaohusika na wasiohusika. Uvumilivu na Busara daima huvuta heri.
kusema ukweli badala ya kukasirika nimecheka mfumo dume,mimi na kati ya wale wenye uwezo wakuchapa mboko wanaumeHuwezi hilo i swear to God, narudia nitakuchapa mboko ukiuliza Zitto's issues ktk mada hii, mm siruhusiwi kupigana na mwanamke ndio maana nasema nitakuchapa mboko, na mwanaume mwenye mazoezi ya kutosha natumia ONE HAND bibie, mheshimu Dr Slaa bana, unauliza uliza Zitto...... unamix issues, utaniudhi sasa hivi, keep going ngoja nilete fimbo hapa karibu, be on point, CDM ni wasomi wengi i hope u r, ila uko off thread bana
Maswali yako yanaonyesha kuwa wewe ni mshirika ni mjumbe au ni mmoja wa wanachedema ambaye unahudhuria vikao,naweza kuuliza swali kama haya yote uliyaona kwenye vikao vyenu kwamba Dr slaa na Tundu Lissu ndio walikuwa wanashinikiza baadhi ya maamuzi ndani ya chama au kwa wabunge sasa kwa nini hamkuyamaliza kwenye vikao vyenu badala ya kuleta kwenye jamvi lakini kama huhudhurii vikao vya wanachadema ni kwa vipi utatuthibitishia kwamba unachofanya si damage control ili kumsave rafiki yako Zitto aliyepoteza heshima kwa ajili ya undumila kuwili kwa kwa sababu ya kwenda kinyume na makubaliano ya wabunge wote ambapo hata yeye alikubaliana nayo
si ni huyu anayekusimulia hatua zote zilivyokuwa kwenye hivyo vikao nawewe unamwaga hapa kwa njia ya maswali ukweli unabaki pale kwmba rafiki yako Zitto na nilikuomba siku nyingine umwambie hawafanyii viongozi uharibifu bali hata chama chake na sisi wafuasi wao tunnathirika kwa jinsi Zitto anavyotaka kujisafisha kupitia watu kama wewe
Duh! Hii kali ni ya mwaka mpya unaosogea huyo Dar es Salam hawezi kurudi tena na hadithi za Pwagu kama hizi.
Mtu kuisema CHADEMA ndio kashakuwa part ya CCM handlers?
The original post betrays a poverty of mind I cannot even begin to address, talking about "an hypocryte" and "interlectually"
I could drag this to a spellchecker, but I won't.
Some peeps just like to sound off.
MODS ban huyu mtu quickly, sisi tunamuuliza Dr Slaa maswala ya msingi na anajibu openly hapa jamvini, Dar-es Salaam anaongelea maswala
ya ngono, ban him mara moja plse, niliposema nataka kupiga kwa mkono mmoja, nimfunze adabu awe anakili za kuongea na watu wazima, sikueleweka unaona now, who the hell is this guy? ban him, ningempata huyu akiona mwanaume atakimbia kama mwehu, ban him
How will that help Tanzanians? Tunaongelea President to be, he has to be responsible. Even kwa mke wa mtu, if he can not be responsible, kama kuna ukweli katika shutuma zilizompeleka kushitakiwa, of ones wife how can he be responsible for the wives and daughters of all Tanzanians? Be a thinker not a tinker.