a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,762
- 1,785
umeuliza maswali ya msingi sana kwenye hoja yako hii EMT. lakini kwanza hebu tujaribu kutafakari kwa undani ni kitu gani ambacho wanachi wanataka wka sasa??
wananchi wanataka serikali 3 wao hawataki moja wala mbili wala serikali za majimbo, kama ndivyo wananchi wanavyotaka ni wazi kwamba matakwa yao ndio yatimie.
lakini kwa upande mwngine CDM walilenga gavana wa jimbo ndiye atakaye mreplace mbunge by so doing wabunge wapewe meno ya kuwawajaibisha watendaji wa serikali. to me hii ilikuwa inaniwia ngumu sana sana kuipatia picha itakavyokaa manake niliwaza kiutendaji wabunge wetu kwanza sio wachapa kazi ni watu wa maneno mengi pasipo utekelezaji na hapo hapo pia wabunge wetu zaid ya kujineemesha kwa kutaka maposho makubwa hawana jingine wanalo tusaidia sisi kama wananchi sasa leo hii wakipewa hayo mamlaka ya kiutedaji si ndio watatumaliza??
Vyema Mkuu. Ila sisi wananchi tunachotaka ni Guarantee ya USTAWI WETU KWANZA! Sasa iwe under serikali 3, 2, 1 au majimbo, haijalishi. Hata kama wananchi watataka serikali 5 leo, lakini huko mbele zikashindwa ku-guarantee Ustawi wao, WATAZIPINGA japo walizitaka!
Upuuzi wa vyama vya siasa vimetu-switch wananchi tulio wengi kutanguliza Political wills zao, badala ya USTAWI WETU, ni janga kubwa! Leo wengi wanaotaka serikali 3 au 2 au majimbo ni kwa kuwa chama chake kinadai hivyo, hana muda wa kutathimini credibility yake katika kuleta USTAWI WAKE! Ni upu.mbavu! Kinachoendeshwa leo na vyama vyote vya siasa ni Political Movements (kwa tafsiri ya siasa mchezo mchafu), ambazo lengo lake ni ku-gain HISIA za watu si AKILI zao! Chochote wapo tayari kufanya ila tu wanapata Popularity ambayo under ushenzi uitwao Demokrasia ni muhimu sana. Chama makini cha siasa kingeendesha Welfare Movements, na automatically wangeteka AKILI za watu na si HISIA zao ambazo zipo tayari kubadilika kwa usiku mmoja tu! Pumbav.u! Tuache wafu wazikane! Lakini HATUTAKAA KIMYA MILELE! We are the Time, we will tell dem soon!
Mungu wetu yu tayari kutupigania vitani! Anaita sasa!
Last edited by a moderator: