Kwanini hawafanyi?Kwani kufanya mkutano ni BEI gani?!!!!!
Kwanini hawafanyi?Kwani kufanya mkutano ni BEI gani?!!!!!
Si ni kawaida sasa hivi kila upande unauombea njaa upande wa pili? Husikii hadi mbowe alisema bungeni serikali imefilisika lkn anashangaa mpk leo analipwa mshahara kwa wakati.Tu assume wapo broke kweli, ww unafaidika na nn kwa mfano au ndio zile mambo za adui muombee njaa
Sumaye aliyehudhuria mkutano wa wanachuo wa chadema mbeya juzi na kuhutubia ni mbunge wa wapi?Abdallah Bulembo anayefanya mikutano nchi nzima kutukana Ukawa ni mbunge wa jimbo gani?
Mwambie mtukufu wenu aruhusu na wengine uone
Fly to kili ni za binafsi.Acha kuwasingizia umasikini bro..wametoa wapi za FLY TO KIA?
Wamebadili matumizi tu ila hela wanazo.
Mbona chadema wamefanya baraza kuu na bawacha leo? Juzi wamefanya mbeya.Hv Bulembo Ni Nani Mpaka Azunguke Nch Nzma?Au Katazo La Mkutano Lipo Kwa Chadema Tu?
Sumaye mbunge wa wapi ameshiriki mkutano mbeya juzi? Hata ruzuku ya chadema ni kodi yetu.Hivi Bulembo ni mbunge wa Chato hadi aruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa huko?
Na tangu lini pesa ni kigezo cha kufanya mikutano?
OK ccm wanaendesha mikutano kwa pesa za walipa kodi
Mikutano ya kusimamisha daressalaam ya nini? Tutafanya kazi saa ngp?Wajinga wachache ambayo wameamua kuzuia mikutano ya vyama vya Siasa ambayo ipo kisheria huku mnakuja na ngonjera za kipuuzi
Ahsante sana Mkuu JokaKuu. Nasikitika kusema kwamba kwenye uchaguzi wa 2020 kutakuwa na wizi mkubwa sana wa uchaguzi ili kuvimaliza vyama vya UKAWA.
Mikakati yote ya kuviua vyama vya UKAWA imeshindikana. Sasa mkakati wa MACCM ni kuvimaliza kupitia wizi wa kura 2020. Hivyo tusishangae kuona UKAWA 2020 haipati hata Wabunge 20 hata kama kutakuwa na mikakati mizuri kiasi gani Mkuu.
Ccm hawajafanya mkutano wa hadhara chato Ulikuwa wa ndani.Chaguzi za ndani zinahusiana nini na mikutano ya hadhara?:
shirikisha ubongo maigizo kila leo mlizuia mikutano ya nini
..OK.
..suppose hicho unachosema ni kweli.
..now, is chadema going to out up a fight or we they have already decided to surrender?
Mikutano ya ndani ni effective ikitumiwa vema na kuendeshwa na watu sahihi. Kuzuia mikutano ya nje si tija, kama ulivyosema ile ya ndani ni ya kuwajengea uwezo wa kutoka siku watakapotaka wahusika waliozuia ya ndaniBAK,
..Katiba mpya haitakuja.
..Mikutano ya wazi imezuiwa.
..Sasa tujiulize: what options are available to cdm?
..Kwa maoni yangu CDM ielekeze nguvu zake ktk kufanya mikutano mingi ya ndani.
..CDM ijielekeze ktk kuwajenga kiuwezo viongozi wake ktk ngazi za kanda, mikoa, wilaya, jimbo, tarafa, etc.
..Mabadiliko tunayoyataka, mabadiliko ya katiba, ni almost impossible kuyapata bila ya kuwa na "leverage"ya kutosha mle bungeni.
..Bila kuwa na wabunge wa kutosha wanaoweza kuzuia miswada na sheria zisipite mle bungeni basi tusahau mabadiliko makubwa ya Katiba.
..Kwa hiyo kwa 2020 CDM wanatakiwa waje na mbinu na mikakati ya kushinda viti vingi zaidi vya ubunge.
..Na mbinu na mikakati hiyo inatakiwa ianze kufanyiwa kazi na kuboreshwa kuanzia sasa hivi.
Mkuu inabidi ni 'quote' kama ilivyo. Kila mstari ni point nzirto..exactly.
..hakuna matamko ya chama kuna matamko ya viongozi individually.
..pia walipaswa kuimarisha ngazi za kanda, mikoa, wilaya, etc.
..kwa mtizamo wangu Dr.Slaa alitimka kabla mfumo wa uongozi wa cdm haujakomaa. Sasa ilitakiwa anayefuatia aimarishe ule msingi uliowekwa na Dr.
..mikutano ya hadhara ina uzuri na ubaya wake.
..cdm ilikuwa inajaza umati wa watu ktk mikutano yao lakini ikija wakati wa uchaguzi matokeo siyo mazuri.
..kwa mtizamo wangu elimu inayotolewa kwa mikutano ya hadhara uwezekano mkubwa ni ya papo-kwa-papo / muda mfupi na hivyo haieleweki kwa walengwa.
..vilevile mikutano mikubwa ya viongozi toka makao makuu haiwajengei uwezo viongozi wa ngazi za chini.
Chama kinapaswa kuwafunda viongozi huko mikoani na wilayani waweze kufanya shughuli za chama na wasiwe wategemezi kwa makao makuu ktk kukijenga chama.
..pia huu ni wakati wa ku recruit vijana ktk chama. Mnyika, Heche, Waitara, Halima Mdee, ..by 2020 watakuwa tayari wako kundi la wazee.[/USER]
Acheni kusingizia eti katazo la kufanya Siasa, nani kamzuia Mnyika kufanya Mkutano wa Kisiasa Kibamba? Nani kamzuia Halima Mdee kuongea na Wapiga kura wake Kawe? Nani kamzuia Msigwa kuunguruma Iringa? Majibu ya maswali hayo ni hakuna, hivyo ukweli ni kwamba kinachowazuia ni ukata na wala siyo Serikali, you are broke, man, ...
Hahah..Kwani wewe ndo Mkaka?Fly to kili ni za binafsi.