Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Acheni kusingizia eti katazo la kufanya Siasa, nani kamzuia Mnyika kufanya Mkutano wa Kisiasa Kibamba? Nani kamzuia Halima Mdee kuongea na Wapiga kura wake Kawe? Nani kamzuia Msigwa kuunguruma Iringa? Majibu ya maswali hayo ni hakuna, hivyo ukweli ni kwamba kinachowazuia ni ukata na wala siyo Serikali, you are broke, man, ...