CHADEMA sasa Tishio GEITA

Chadema ni chama cha kikanda,kikristo,kichagga.
Mara chadema ni cha msimu
mara chadema kitakufa mwaka mmoja ujao -wasira
 
Ngoja kwanza ni 2012 tu ikifika 2013 hata kaburi la CCM halitakumbukwa liliko.
 

geita kuna mwamko mkubwa wa kisiasa.pale kijijin nyamalimbe wanakijiji wanajua maana ya vyama ving na mchango wake kisiasa.hongereni makamanda
 
dAH chadema inatisha balaa,,,kuna mahali niko huku mashariki ya mbali, gumzo ni CHADEMA tu! peoples power!
 
Viva cdm i'll never die until i see ccm's coffin by myself.
 
Hiv kwann habar nyng za casa source ni tz daima?Are you advertising this or?Nimesusa nunua gazet lolote since wamefungia mwanahalisi!!
 
Ukiangalia kwa makini vidole vimeelekea kaskazini why?

kaskazini ipo juu sijawahi kusikia kibla ipo kusini cdm always up up ....angalia lini uliona jembe na nyundo ikianangalia juu litalima shamba gani?

 
Ukiangalia kwa makini vidole vimeelekea kaskazini why?

Vinatokea wapi kuelekea kaskazini? Kusini mpaka kaskazini, Magharibi hadi mashariki ni chadema 2015.
 

ccm rest in hell.
 
kwuikwikwikwiwkiksema mimi usiwaweke wenye akili zao
huogopi hiii kwikwikwikwiwk pole sana

Raha tupu, uliona jeneza likapambwa na rangi za chadema? Jeneza hupambwa na rangi za Taifa na hata maiti hupambwa, Wakiristo kwa suti kuliko aliyoolea na Waislaam kwa sanda yenye manukato ya miski na al oud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…