lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
- Thread starter
-
- #81
Saccos ya mtei na watoto wake
Chadema chama cha kikabila na ukoo kwa upande huo kweli kiko imara make kama hujatokea mikoa yao uongozi ndani ya chama hupati.
kiujumla cdm ni chama cha kutetea wanyonge...
Chadema naipenda kutoka moyoni. Mbunge mmoja wa chadema ni sawa na wabunge 100 wa ccm ktk ufikiri. Bunge linafuatiliwa na wananchi kwasababu ya chadema, wanatupa hamasa ya kuangalia bunge. Siyo maccm ya ndiyooooooooooooo
Peoplesssssss...............
Wabunge wake wana akili nyingi kuliko wa ccm, bila wao nisingekuwa natazama bunge.
Shanganzi yangu maisha ya sasa ni ya ukweli na uwazi be careful Shanganzi yangu.Subiri siku moja utakichukia wala hutaamini macho yako ni bora ungetunza moyoni kuliko kujianika!
first ni chama ambacho kimefanya wananchi kujua haki zao zao nakuamasisha upigaji kura. mfano ni tuzo aliyopata Dr slaa uchaguzi wa mwaka 2010.
Second. Kimekuwa chama kinacho tetea maslai ya wananchi wake. mfano ni pale kinapokataa kupitisha miswada inayoonekana haitakuwa na manufaa kwa wananchi.mfano nipale wanapo piga kelele na kukataa kutoka bungeni adi bunge linahairishwa.
third.Kimefichua mafisadi wengi nchini waliokuwa wanakula hela za wananchi kwa manufaa yao binafsi mfano hii ilipelekea mawaziri kujiuzulu nawengine kupelekwa mahakamani na kufungwa.
Fourth. ni chama pekee chenye uwezo wa kuchukua maamuzi magumu kwa mwanachama mwenye person interest bila uonevu wa aina yeyote. mfano nikuvuliwa uwanachama kwa Zito Kabwe.
five.uongozi ulioimara nasera thabiti hii husababisha wabunge vilaza kuondoka kama john Shibuda na Said Arfi na majembe kuingia kuja kuungana na wachapakazi wenzao kama James lembeli na Ester Bulayo.
BIG UP CHADEMA I WILL NEVER LEAVE ALONE FOREVER TOGETHER.