kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Chadema ni chama cha kupiga ruzuku
Ni chama ambacho hakina malengo endelevu.
Hakina mradi wowote zaidi ya kutegemea ruzuku na misaada kutoka kwa wafadhiri.
Ni chama ambacho kimepanga toka 1992 mpaka leo licha ya kuwa na wabunge 49 lakini viongozi wake wanamajumba Dubai na Ulaya.
Ni kweli lakini kuna baadhi ya maeneo watu wameshindwa kutofautisha kati ya ccm na chadema kimatendo. Kwa mfano kipi kilichofanya wakose wabunge wa viti maalumu mikoa ya ruvuma, dodoma, njombe na hata tabora? Huu ni udhaifu uleule wa kiccm?
MKUU BAK.Nafuatilia sana post zako humu JF.Ufahamu wako na uchambuzi wako uko juu sana.kinachonisikisha ni jinsi unavyopoteza muda,hekima na busara kulielewesha robot lililokaririlishwa hoja moja tu kwa miaka 10.ya ukabila na udini ambaya imefeli.BAK naomba tumia muda wako hata kwa sentensi moja kutupa elimu ambayo wewe ni mtoaji mzuri sana.Imethibitika kuwa Simiyu Yetu, Laki si pesa hawa sio binadamu ni robots zimerekodiwa maneno fulani ili kupambana na hoja motomoto za wana CHADEMA kama wewe.fuatilia coments zao huwa zinajirudiarudi.Leo anatoa koment hii kesho ile keshokutwa ile mtondogoo ile halafu anakuja kurudia tena aliotoa siku ya kwanza.yaani tunabishana ya robot inayotumia CD.
Chadema ni makini kwa kuteka watu muulize msack majibu anayo lakini siyo chama cha kutumikia watanzania.
Chadema chama cha kikabila na ukoo kwa upande huo kweli kiko imara make kama hujatokea mikoa yao uongozi ndani ya chama hupati.
Mkuu pamoja na kuwa hawa Buku 7 wanaudhi na kukera sana, walimwaga makusudi hapa kuja kuvuruga mijadala muhimu kutukana watu na kuandika uzushi wa kila aina dhidi ya CHADEMA na UKAWA. MACCM waliona hili jamvi linakuwa ni tishio kubwa kwao, na ndio sababu ya kuwapa ajira hawa buku 7 ili waandike pumba zao 24/7.
Tukiwaachia hawa waandike uzushi wao wa kila aina basi uzushi wao unaweza kukubalika na kuonekana ni ukweli Mkuu. Hivyo wengi pamoja na kuwa hatupendi kujibizana nao lakini wakati mwingine inakuwa hakuna jinsi au vinginevyo wangeshaliteka hili jamvi na kulifanya la Mainterahamwe lakini juhudi zao hizo mpaka sasa hivi zimegonga ukuta.
hayo sio majibu ya kumridhisha mtu, labda ni mtazamo wako, chadema kama kina lengo la kukamata dola lazima kiwe na uwakilishi wa kutosha kila pembe ya nchi, hakukuwa na sababu kutoa wabunge wawili ndani ya eneo moja kwa mfano mbeya mjini, sugu alitosha, nafasi ya viti maalumu ingetolewa kwenye maeneo yale ambayo cdm hawakupata wabunge wa kuchaguliwa. Hili limekuwa kosa kubwa.mosi, mpango wao wa viti maalumu hauendi komikoa, hata vyenyewe havikuwa vinatosha mikoa iliyopo.
pili, mkoa wa Njombe haukuwapo wakati huo
tatu, mkoa wa Dodoma hawakuwa ba sapoti yoyote, hata leo magamba wameugeza ndondocha
Chadema ni chama cha kupiga ruzuku
Ni chama ambacho hakina malengo endelevu.
Hakina mradi wowote zaidi ya kutegemea ruzuku na misaada kutoka kwa wafadhiri.
Ni chama ambacho kimepanga toka 1992 mpaka leo licha ya kuwa na wabunge 49 lakini viongozi wake wanamajumba Dubai na Ulaya.
Mara nyingi mchoyo anakuwa ombaomba sana maana ni msahaulifu,ni kama mbwa ukimpa mfupa halafu ukataka kuuchukua anakushughulikia na meno.CCM wako hivyo wamesahau kuwa mwenyekiti wao kila wakati mguu na njia kuomba misaada nje ya nchi.Leo hii CDM wanategemea wafadhili.
Hakuna chama makini cha upinzani kilichokipitia misukosuko na kuendelea kubaki imara kama CHADEMA
Mungu yupi mkuu? Huyo mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kiwe chama cha upinzani.
Chadema chama cha kikabila na ukoo kwa upande huo kweli kiko imara make kama hujatokea mikoa yao uongozi ndani ya chama hupati.
Tutahakikisha tunapambana nao hapahapa jf kudadeki , hatuwezi kuwaachia ngedere shamba la mahindi .Mkuu pamoja na kuwa hawa Buku 7 wanaudhi na kukera sana, walimwaga makusudi hapa kuja kuvuruga mijadala muhimu kutukana watu na kuandika uzushi wa kila aina dhidi ya CHADEMA na UKAWA. MACCM waliona hili jamvi linakuwa ni tishio kubwa kwao, na ndio sababu ya kuwapa ajira hawa buku 7 ili waandike pumba zao 24/7.
Tukiwaachia hawa waandike uzushi wao wa kila aina basi uzushi wao unaweza kukubalika na kuonekana ni ukweli Mkuu. Hivyo wengi pamoja na kuwa hatupendi kujibizana nao lakini wakati mwingine inakuwa hakuna jinsi au vinginevyo wangeshaliteka hili jamvi na kulifanya la Mainterahamwe lakini juhudi zao hizo mpaka sasa hivi zimegonga ukuta.
Huyo Mungu wa chadema huwa simuelewi kabisa lazima atakuwa mchaga tu.
ha ha ha ha!!! kweli kaka,kila mchaga unae mkuta mikoa mingine lazima awe CDM.
ha ha ha ha!!! kweli kaka,kila mchaga unae mkuta mikoa mingine lazima awe CDM.