Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,790
- 1,232
duh...yaani hii hata kama ni condom basi itakuwa ni ile iliyotumika ikatupwa halafu ikaokotwa tena ili itumike mara ya pili...aaarghh
Mitoa thread hizi ndizo taarifa zako Join Date : 12th March 2012 Posts : 140 Rep Power : 337 Likes Received 13, Likes Given 10 unajijibu ili kuongeza uchangiaji wako. Mnachokosea toeni kauli zenu msidandie mara Wazee wa kichaga, wewe ****** unasemaje? Au ni ile mna jina la rais wa 2015 ambaye hatikiwi atoke kaskazini?
Jibu hoja acha kutapatapa Chadema itoke vipi au ndo itapotea kama MR Nice
Kutokana na siasa za msimu za Tanzania; wachambuzi wa mambo sasa wanajiuliza sasa chadema itatoka na singo gani ama agenda ipi baada ya agenda zake kuchuja. Wiki moja iliyopita CDM ilivuma na singo ya kubadilisha baraza la Mawaziri but agenda hiyo imechuja baada ya JK kubadili baraza la mawaziri. Agenda na nyimbo nyingine zilizochuja ni zile za kampeni ya Vua Gamba vaa Gwanda ikiwa ni pamoja na wanachama maamluki wa ccm kuhamia chadema, agenda hiyo imeshazoeleka maskioni mwa wa Tanzaj
inasikitisha sana kuona bado kuna baadhi ya watu hawaoni adui wa tanzania ninani,..! Mwizi ni mchaga au mwizi ni sisiemu?mnatumia masaburi kufikiri,wachaga wapo mpaka kijijini kwako,hebu linganisha hali yao kiuchumi alafu linganisha na hali yako na wanakiji wa hapo alafu usinipe jibu,unateswa na ukabila na udini tatizo lako,usibishane na wakati when da changes its comes,nothing can opose dat changes coz its like storm onthe ocean
Kutokana na siasa za msimu za Tanzania; wachambuzi wa mambo sasa wanajiuliza sasa chadema itatoka na singo gani ama agenda ipi baada ya agenda zake kuchuja. Wiki moja iliyopita CDM ilivuma na singo ya kubadilisha baraza la Mawaziri but agenda hiyo imechuja baada ya JK kubadili baraza la mawaziri. Agenda na nyimbo nyingine zilizochuja ni zile za kampeni ya Vua Gamba vaa Gwanda ikiwa ni pamoja na wanachama maamluki wa ccm kuhamia chadema, agenda hiyo imeshazoeleka maskioni mwa wa Tanzania na hivyo kuwa haina mvuto.
Kwasasa CDM inatapatapa kuwasafisha wachaga na wanaarusha wanaotaka kupotoshwa na Nasari ambaye anatangaza kujitenga kwa kanda ya kaskazini huku akijua wachaga ndio kabila linaloongoza kuzagaa na kumiliki mali na vitega uchumi katika mikoa yote ya Tanzania na hivyo kabila hilo kwasasa linajipanga rasmi kuitosa chadema kutokana na kauli zinaweza kuhatarisha biashara na maisha ya wachaga walio nje ya Kilimanjaro na Arusha kwani ndio waliowengi na wanaongoza kwa kipato kuliko wachaga waliobakia milimani
Njia nyeupe sasa kwa CCM kuendeea kutawala Taifa la Tanzania baada ya agenda zote za Chadema Kuchuja kwa Mpigo na umaarufu wa viongozi wake wa kuu hasa Dr Slaa kuendelea kufifia.
Wasukuma wagoma kuunga Mkono kauli ya Nasari ya kujitenga