CHADEMA Ruvuma kimenuka

Status
Not open for further replies.

fuime jembe la ukweli,kwa kujenga chama anajitolea sana,pia ni mtu anaejitambua.
 
Du majamaa(maCCM) yameanzisha thread yenyewe yanachangia yenyewe.
 
Hilo kundi la Zito, halina haja ya kutangaza eti wanahama! Kinana si yupo maeneo hayo? Wamwalike awapatie kadi!
 
hou ni uongo wa hali ya juu hamna sual kama hiloFuime na Mbogolo hwana mgogoro japokuwa kuna watu walikuwa wanasugest Fuime agombee ubunge kwa sababau Mbogoro kagopmbea mara3 na kaukosa huyo mfamaji alikuwa TLP kagombea sana kata ya mfaranyaki kabla ya kuhamia CDM hali ni shwari na watu wanaunga mkono maamuzi ya kamati kuu
 

CDM inatakiwa itoke kwenye chama cha ufuasi na kuwa na chama cha wafuata msingi.
 
Ndugu zangu wanachadema inasumbua sana mara zote kujibu mambo ya uongo na uzushi kama huu wa bwana kitambiheshima.Lakini inatupasa kujibu kila aina ya uzushi tunaozushiwa.Kwanza hakuna ukweli juu yaliyosemwa na msemaji, sikweli kuwa chadema mkoa Ruvuma kimepasuka kutokana na kamati kuu ya chama Taifa kumvua uongozi ndani ya chama mhe,ZZK.Pia sio kweli mimi Fuime nimetangaza kugombea ubunge jimbo la songea mjini, nasina ugovi na mhe,Mbogoro.Pia mwandishi amechomekea hili jambo kwahofu ileile ya kuogopa mshikamano huu ndani ya chadema ukiendelea hadi 2015 Magamba hawana chao mkoa
 
Hadi hv sasa ninashindwa kuweka kwenye matabaka nabaki najiuliza kama CDM ni chama cha siasa

Vyama vina ngazi zake. Huanzia ukoo, kijiji, kabila, kanda na hatimaye kupanda hadi kuwa chama cha siasa.

CHADEMA bado hakijafikia kuwa chama cha siasa, kinajitutumua kufikia huko. Tusubiri baada ya purukushani hili. Kama kitasurvive huenda kikawa chama cha siasa, lakini yumkini kubwa ni kusambaratika.

Kwaheri CHADEMA.
 

NA MBOGOLO TAMKO LAKE LIKOWAPI? Au yeye haujui mtandao wa JF. hAYA KAENI MKAO WA KULA.
 

Aaaaaaa wapi, hakuna cha mpasuko wala nini!!! Mahaini wameng'olewa na chama kiko shwari!!! Si mlitegemea maandamano kupinga???? Matokeo yake mmeyaona mwenyewe!! Hata huyo ZZK wenu haini na msalimi hatutegemea ubaridi wa wanachadema kuhusiana na hli. ZZK wenu alishachokwa muda mrefu na kwa tokeo hili ameamini kuwa hakuna anayemshobokea!!! Alifikiri yeye ni kila kitu CDM kumbe wapi. Mchukueni sasa mkampe nafasi ya Mwigulu Nchemba!!! Kafie mbali na mamluki wako Zitto!!!! Zimetimia na aibu ni kwako na masalia wako!!!
 
Wakuu BAK Zogwale Mungi Matola njooni huku muone team MM na baadhi ya ma CCM yamejianzishia thread na kuishia kuchangia wao kwa wao na kugongeana like za hapa na pale...wanajitekenya na kucheka wenyewe...
Wanatia huruma aisee....

Mkuu Bramo, kula tano!!! Hayo ni matokea ya mtu kutaka kuzama huwa anajitupatupa huku na kule!! Kwa kifupi mathread yao yote tangu SALITI na HAINI lao ZITTO litupwe nje ya uongozi wa chama basi wanatapatapa kama wanataka kukata roho!!! Hakika roho zao hazitatoka kabisa ili waendelee kuteseka mioyo yao tu. Hawakutegemea kuona kuwa Saliti hajaungwa mkono hata kidogo na wanachadema!!! Pili, masuala ya watu kuanza kuonesha nia ya kugombea mbona hata kule CCM kila kukicha ni URAIS na ubunge tu!!! Watu kila wakati kwenye media wanakashifiana!!! Atueleze hali ya Lowasa, Sumay, Sitta, Januari Makamba, yani list ni ndefu!!! Wameshaanza kuhonga wengine hadi makanisani na misikitini. Alete habari nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…