we unaetaka sosi bwe..ge nini!. Mi nakupa kitu toka jikoni. Na sos ni mimi mwenyewe!
Hahaha unawapa stress
chadema ukijua maneno pipozi pawa, fisadi, magamba na msaliti tayari wewe umekuwa mwanasiasa. Hakuna sharti jingine ni hilo tu mkuu. Ndo maana kumejaa wenye jazba na wavimba uso tupu!Vijana wa chadema hivi siasa mnajifunzia wap?
nyie matomaso subirini hadi kesho kitakaponuka na kuripotiwa kwenye media ndo mtarudi kucomment. Maana kuna vijitu hum vinadhani wote ni wakurupukaji.
chadema ukijua maneno pipozi pawa, fisadi, magamba na msaliti tayari wewe umekuwa mwanasiasa. Hakuna sharti jingine ni hilo tu mkuu. Ndo maana kumejaa wenye jazba na wavimba uso tupu!
hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa Joseph Fuime na Katibu wa jimbo Mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo Joseph Fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba. Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine. Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa Fuime na wengine kwa mbogolo. Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa chadema kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama Zitto Kabwe. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya chadema kimetonya kuwa swala la Zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa Zitto Kabwe. Kundi hilo linaongozwa na Fuime
Mbowe na Slaa wamejitia kitanzi wenyewe kwa uchu na tamaa isiyo na mfano.
Kuna kila uwezekano kuwa Mbowe anaogopa kuwachia uenyekiti mpaka ampate ataeficha siri zake za ubadhirifu, kwani waraka unasemaa yeye ndio "purchaser" na yeye ndio "supplier".
Hapo sasa.
popooooooooooooozi bawaaaaaaaaaaaaaaa!
Teamzitto@work,lakini wana roho ngumu sana kama paka shume.Kila mwenye akli timamu Asome waraka uliowavua hawa wasaliti nyadhifa zao then wajipime wamesimama wapi?
ZZK kwa hali hii jihesabu kuwa Pesa ya TISS uliyokuwa unapokea basi ikufae kwa UASLITI WAKO lakini kama ni siasa pole sana .ULIMUAMINI SANA WASIRA na TISS.haata kama ni utoto ukikua hutaacha!
chadema ukijua maneno pipozi pawa, fisadi, magamba na msaliti tayari wewe umekuwa mwanasiasa. Hakuna sharti jingine ni hilo tu mkuu. Ndo maana kumejaa wenye jazba na wavimba uso tupu!
Teamzitto@work,lakini wana roho ngumu sana kama paka shume.Kila mwenye akli timamu Asome waraka uliowavua hawa wasaliti nyadhifa zao then wajipime wamesimama wapi?
ZZK kwa hali hii jihesabu kuwa Pesa ya TISS uliyokuwa unapokea basi ikufae kwa UASLITI WAKO lakini kama ni siasa pole sana .ULIMUAMINI SANA WASIRA na TISS.haata kama ni utoto ukikua hutaacha!
Think Tank yenu Slaa kashindwa kutafuta kosa kwenye Waraka kaishia kusema Katiba hairuhusu mipango ya Siri wakat kashindwa kuonesha wapi kwenye Katiba inakataza hiyo mipango ya siri, Ule waraka umewakamata vilivyo sasa Lissu kaenda ku delute maneno kasema atatoa Remix ya Waraka ili achomoe na kuchomeka atakavyo kama walivofanya kwenye katiba yenu ya 2004 mlivochomoa ukomo wa Uenyekiti