CHADEMA Ruvuma kimenuka

CHADEMA Ruvuma kimenuka

Status
Not open for further replies.

kitambiheshima

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
452
Reaction score
116
Hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa Joseph Fuime na Katibu wa jimbo Mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa.

Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo Joseph Fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae Mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba.

Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine.

Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa Fuime na wengine kwa Mbogolo.

Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa CHADEMA kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama Zitto Kabwe.

Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya CHADEMA kimetonya kuwa swala la Zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa Zitto Kabwe,kundi hilo linaongozwa na Fuime
 
hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa joseph fuime na katibu wa jimbo mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo joseph fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba. Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine. Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa fuime na wengine kwa mbogolo. Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa chadema kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama zitto kabwe. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya chadema kimetonya kuwa swala la zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa zitto kabwe. Kundi hilo linaongozwa na fuime

na bado twasubiria kiwake mambo yaanze rasmi.
 
Jamani lichama hili limeshajifia hivi kwanini hamkubali.....!!!!
 
Tunashukuru kwa taarifa nzuri hizi kitambiheshima, tunaomba uzidi kufuatilia utupe taarifa kamili.

Kama inawezekana naomba ni-PM no ya sim ya Fuime
 
Last edited by a moderator:
jamaa wanaapa kung'oka na Zitto. Kuna diwani mmoja bangi sana anaitwa Mfamaji huyo ndo amesema hawawezi kukubaliana na ubabe wa Slaa na Mbowe. Kesho ndo wanaweka msimamo.
 
mkuu 6gates unaona jinsi watanzania walivyo majuzi wa siasa feki za ubabe za slaa na mbowe kuminya demokrasia.fuime anajitambua mungu ampe life agombee 2015
 
vijana nao wamegomea mpango wa "chadema msingi". wanasema hawawezi kuendelea na ujenzi wa chama kwa kujitoa hadi kifo wakati kumbe wanaonufaika ni "teamkaskazini"!
 
hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa Joseph Fuime na Katibu wa jimbo Mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo Joseph Fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba. Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine. Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa Fuime na wengine kwa mbogolo. Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa chadema kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama Zitto Kabwe. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya chadema kimetonya kuwa swala la Zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa Zitto Kabwe. Kundi hilo linaongozwa na Fuime

diplomatic fool!
 
jamaa wameona Fuime tunamkubali kwa umahili wa kukijenga chama, wameanza kumkashifu mara eti ana sauti ya kike mara mrembo. kiukweli tunamkubali sana Fuime kwani toka mwezi August jamaa anapiga mamikutano wilaya nzima ya Songea. Mboogolo alivyo na wivu hajahuzulia mkutano wa Fuime hata mmoja.
 
jamaa wanaapa kung'oka na Zitto. Kuna diwani mmoja bangi sana anaitwa Mfamaji huyo ndo amesema hawawezi kukubaliana na ubabe wa Slaa na Mbowe. Kesho ndo wanaweka msimamo.

Hapo kwenye bangi kaharibu. Suppoters wa zitto ni wasomi kama kitila mkumbo mkuu, hao ni ndugu zake lemma na sugu.

M sory to say hatutambui na wala zitto hataki support yake. Samahani.
 
Kitambi heshima=nikweli huyu mbogoro hafai,ila nasikia mbowe ndio anamtaka mbogoro.lakini sisi wenyewe hatumtaki huyu bata hauziki
 
jamaa wameona Fuime tunamkubali kwa umahili wa kukijenga chama, wameanza kumkashifu mara eti ana sauti ya kike mara mrembo. kiukweli tunamkubali sana Fuime kwani toka mwezi August jamaa anapiga mamikutano wilaya nzima ya Songea. Mboogolo alivyo na wivu hajahuzulia mkutano wa Fuime hata mmoja.

Kwa hiyo hoja ndio hizo tuu?
 
we unaetaka sosi bwe..ge nini!. Mi nakupa kitu toka jikoni. Na sos ni mimi mwenyewe!
 
mkuu 6gates unaona jinsi watanzania walivyo majuzi wa siasa feki za ubabe za slaa na mbowe kuminya demokrasia.fuime anajitambua mungu ampe life agombee 2015

ukikubali kuwa wewe uu mjinga, hapo hapo utaanza kuelimika
 
nyie matomaso subirini hadi kesho kitakaponuka na kuripotiwa kwenye media ndo mtarudi kucomment. Maana kuna vijitu hum vinadhani wote ni wakurupukaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom