nasdaz naungamkono bandiko lako hapo kwa mara ya kwanza naomba nikubaliane na wewe kuwa chadema bado haijafanya bidii ya kujitangaza huko na siku ikifanya hivyo naamini itakuwa na wafuasi tena wengi tu..
Kwani uongo?wanaamin ni chama cha kikafir na wenyewe ni wachaga
Hiyo ni ONE STEP FOWARD kwavile umeuona ukweli ambao wengine hawataki kuukubali!!!! Nakumbuka mwaka jana alikuja ndugu yangu kutoka bush (ndiko nilikosema ni miongoni mwa vijiji vikubwa kabisa).....dogo kila unachoongea nae ni CUF! CUF! CUF! kimsingi, hataki hata kuisikia hiyo CCM. Nikamuuliza kuhusu CDM, akasema hakuna kabisa CDM kule....kwakweli nilikuwa very disappointed. Na labda nikupe siri leo hii; wakati huo nilikuwa naifagilia sana CDM ingawaje kwa sasa lazima nikiri kwamba SIIPENDI!!!! Nikapata nafasi ya kwenda kule; nikayashuhudia kwa macho yangu niliyoambiwa na yule dogo; ikaniuma sana kwamba chama kama CDM hakipo kabisa kule. Nikaja hapa jamvini na kutoa angalizo ni namna gani CDM wanaweza kujitanua na maeneo mengine.....nilitumia maneno kwamba, POLITICS is almost like ujasiriamali; kwamba penye matatizo kuna political opportunity kwavile ni rahisi kuwaambia wananchi kwamba....mnaona hii, ni kwa sababu ya hawa watu!!!! Wasiopenda kukubali ukweli na kuamini ktk dhahania wakaishia kukandia kwamba watu wa pwani na kusini hawajasoma ndio maana hawajui chochote badala ya kujadili mada husika....nikaja kuwa completely disappointed pale Slaa alipoenda kwenye kampeni za urais.....alitumia just couple of hours kwa mikoa miwili; tena ni kama tu alienda kutoa lawama...hapo ndipo nikaja fahamu kwamba; ehee, kumbe jamaa (CDM) si wenzetu!!!! Huwezi kukaa pamoja na watu msioongea lugha moja, nikaamua kuchana na wana magwanda!!!!
kumejaa mihogo tuu
Kanda ya Juu Kaskazini ndio mikoa ipi hiyo? :biggrin1:... CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI...
alshabab ni neno la kiarabu linamaanisha vijana .... shukran kwa kuisifia cuf kutokana na ulimbukeni wako... ila you are right about one thing watu wa pwani asilimia kubwa ni waislam ndio maana chadema kamwe haitokuja kufanya juhudi zozote ikubalike since ni chama cha kanisa
kwanini ukaangaike na vichwa vigumu wakati ukiwajumlisha wakazi sehemu zote ulizotaja ni sawa na wapiga kura wa jimbo moja yaani ubungo tu.mleta mada kauliza maswali ambayo nadhani anajua fika wana CHADEMA wa JF hawana majibu.
In short hawana stats za performance yao mwaka jana Pwani zingekuwepo wangezileta
stay tuned for conspiracy theories wakati watu bado wanasubiri data na stats
Pwani hatutaki ujinga wa maandamano na kuacha shughuli zetu za kupiga mahela,inshort hatutaki siasa uchwara.
kwa nini hatusikii maandamano na mwamko wa CHADEMA mikoa ya Pwani? CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI
Pwani inajumuisha:
BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA
Kwa sababu kimaendeleo hawa ndio wako nyuma kuliko eneo lolote lile Tanzania na ingekuwa wepesi zaidi kwa watu wa mikoa hii kuamka na kuanza kulalamika juu ya serikali au tuseme kuwa watu wa PWANI hawana muda na CHADEMA?
Hivi statistically kwenye elections zilizopita CHADEMA ilipata asilimia ngapi Pwani na wilaya zipi ilishinda kwa wingi kati ya hizo hapo juu?
mkoa wa pwani lindi mtwara tanga wengi wao vichwa ngumu hata uwachemshe na magadi hawalainiki, ila taabu zikiendelea watafunuka............. ccm haitaweza kuwadanganya milele iko siku danganya yao itafika mwisho. ILA WATU WA PWANI FUNGUKENI ACHENI KULALA LALA HAWA CCM WATAWAKAMEROOOOOOOOOOON
majimbo uliyoyataja sikuhizi wamejaa wachaga ... wenyeji wa pwani siasa uchwara za vurugu hawafagilii
wanaamin ni chama cha kikafir na wenyewe ni wachaga